Hii game tumeshaimaliza Waarabu wanachinjwa Hapa na Mazishi yao hapa hapa kwao tunapeleka Msiba tu

Hii game tumeshaimaliza Waarabu wanachinjwa Hapa na Mazishi yao hapa hapa kwao tunapeleka Msiba tu

Bado sisi ni unbeaten. Matches za kimataifa tumefungwa moja, draw mbili na kushinda mbili.

Mechi za kimataifa umefungwa moja!???

Rivers si alikuchania chupi nje ndani,
Vipers nae akakupiga MBILI UCHI

Sasa mbona unbeaten zako zinabagua mechi 😀
 
Mechi za kimataifa umefungwa moja!???

Rivers si alikuchania chupi nje ndani,
Vipers nae akakupiga MBILI UCHI

Sasa mbona unbeaten zako zinabagua mechi 😀
Tunazungumzia Msimu huu.... Kwani Simba haijawahi pigwa 5 na 5 tena?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Hata tuache za msimu uliopita tuanze sasa. Yanga ndo team pekee ambayo haijapoteza kwenye ligi...😁
Basi una afadhali kubwa sana kama unaridhika na mwenendo wa Yanga na nakupongeza maana hautapata magonjwa ya kujitakia. Angalia mwenzako huyu anavyojitafutia magonjwa kwa kukataa kuridhika:

Hata tuache za msimu uliopita tuanze sasa. Yanga ndo team pekee ambayo haijapoteza kwenye ligi...😁
Kwa hiyo hii mechi mmeshaimaliza kama ulivyosema jana, au kuna marekebisho ya kauli? 🤣
 
Kwa hiyo hii mechi mmeshaimaliza kama ulivyosema jana, au kuna marekebisho ya kauli? 🤣
Lengo lilikuwa wasitufunge hata goal moja huku. Ili sisi tukawafunge au kutoa draw ya magoli kwao.
 
Back
Top Bottom