Hii hali inanipa upweke sana nimejitahidi kuikwepa lakini wapi

Sasa si umeshajijuwa tatizo liko wapi? Au unataka kusifiwa?
 
Jipambanie Mkuu. Nikupe mfano kuna ndugu yangu kazaliwa peke yake kwenye familia hizi za kisasa in short alikuwa ni introvert pure kufumba macho nakufumbua 2019 wazee wake wote walifariki kwa ajali ya gari so everything ended like that. Ukimuona sasa anaongea kama redio anajichachanganya na watu kupitiliza. Mungu anampenda sana
 
Extroverted introvert
Angalia usije jinyonga
 
Mimi sio Muoga kabisa mkuu,hii hali ilianza sekondari
Mkuu TheForgotten Genious pole sana na hio hali, kuna Member humu naye alikuwa na hali kama yako lakini Upweke wake ulikuwa unamfanya mpaka kufikia anawachukia watu, nilimpa namba ya Mtaalam wa Saikolojia. Nimepita PM nimezikuta namba za huyo Mwanasaikolojia
Yupo Temeke anaitwa Said Kasege, cheki naye atakusaidia
+255766862579
+255622414991
 
asante mkuu,nitamcheki
 
Nimempa namba ya Mwanasaiolojia atamsaidia ipo humu kwenye huu uzi
 
Ukioa tatizo lako litakuwa kubwa zaidi.Bora ujitibu kabla hujaoa.
Wewe hupendi kelele na kuongea pasi na sababu.Mwanamke anatakiwa angalau aongee maneno 50000 kwa siku.Nusu ya maneno hayo unatakiwa umsikilize,kwako itakuwa kama ni kero kumsikiliza,shida itaanzia hapo.
 
Balaa sasa,maana yakianzaga makelele huwa nakimbilia kusema samahani ilihali anyamaze ,asiponyamaza naondoka,wacha nijaribu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…