Double standards🤣Ujumbe wa Papaa mnaupokea kwa shangwe wa Maaskofu mnaukataa. Inachekesha.
Mzee wako angejua manii iliyokuunda angepiga tuu nyetoNdugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Alipata Bahati ya kipekee ya kupata na kuandikiwa Barua na mkuu wa kanisa la katoliki Duniani Hayati Papa Francis siku chache au muda mfupi kabla ya kuaga Dunia.
Hii ni katika heshima na kutambua mchango wa Rais wetu Mpendwa Mama Samia katika Kudumisha Amani hapa Nchini na kuifanya Tanzania kuwa kimbilio la wanyonge . na hivyo kufanya watu kuabudu kwa uhuru na utulivu na viongozi wa Dini kuhubiri neno la Mungu kwa amani na utulivu mkubwa.
Soma Pia: Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88
Lakini papa Francis ambaye alikuwa mtu mwenye upendo kwa maskini na mwenye moyo wa kujitoa na kujitolea kusaidia maskini. amekufa akitambua mchango mkubwa wa Mama yetu Mpendwa Rais Samia katika kupambana na umaskini na kuinua maisha ya watu pamoja na kusaidia kuondoa umaskini hapa Nchini.
Ndio sababu Kabla ya kufikwa na umauti Hayati Papa alichukua wasaa na muda wake wa kumuandikia Rais wetu kipenzi Barua. hii ni heshima kubwa kwa Taifa letu na RAIS wetu kipenzi ambaye kila uchao ameendelea kuipatia heshima nchi na Taifa letu kwa uongozi wake shupavu,imara na madhubuti na wenye kuleta matumaini kwa watu na makundi yote . Ndio sababu ya kuona kiongozi mkubwa kama papa licha ya kusumbuliwa kiafya lakini alikaa mezani na kumuandikia barua Rais wetu Mpendwa.
Kwa hakika Tanzania tuna kila sababu ya kujivunia Rais wetu,tuna kila sababu ya kuendelea kumuunga mkono na kumuombea afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania. Dunia inaendelea kutambua mchango wa Mama kwa utumishi wake uliotukuka ambao umekuwa Daraja la matumaini kwa watu.
Rais wetu ameendelea kufanyika baraka Kwa Maisha ya watu pamoja na kuwa taa ya matumaini katika Dunia hii.
Hii hapa Barua ya PapaView attachment 3317666
Hapa Ni ujumbe wa Rais wetu Mpendwa akitoa shukurani zake na kumuombea Papa ili apumzike kwa amani na Mungu amuangazie Mwanga wa milele.View attachment 3317667
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula
Kwa hakika Rais Samia analiheshimisha sana Taifa letu.Hayati Papa alishaona juhudi za mama kuwaletea maendeleo watanzania ndo maana akakumbuka kuacha ujumbe. Mungu amlaze pema
Jibu lako linathibitisha huna hoja.Kama umeumia sana jaribu unywe maji ya Baridi utulize maumivu.
Mungu akusamehe sana maana hujui ulitendaloMzee wako angejua manii iliyokuunda angepiga tuu nyeto
Usilete mahasira yako hapa kwa sababu ya umbumbumbu wako wa kutokujua lugha.Jibu lako linathibitisha huna hoja.
Sasa kama hamkutaka tujue alichoandika Pope umekimbila nini kuanzisha hili bandiko?!
Unatafuta teuzi huwezi pataNdugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Alipata Bahati ya kipekee ya kupata na kuandikiwa Barua na mkuu wa kanisa la katoliki Duniani Hayati Papa Francis siku chache au muda mfupi kabla ya kuaga Dunia.
Hii ni katika heshima na kutambua mchango wa Rais wetu Mpendwa Mama Samia katika Kudumisha Amani hapa Nchini na kuifanya Tanzania kuwa kimbilio la wanyonge . na hivyo kufanya watu kuabudu kwa uhuru na utulivu na viongozi wa Dini kuhubiri neno la Mungu kwa amani na utulivu mkubwa.
Soma Pia: Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88
Lakini papa Francis ambaye alikuwa mtu mwenye upendo kwa maskini na mwenye moyo wa kujitoa na kujitolea kusaidia maskini. amekufa akitambua mchango mkubwa wa Mama yetu Mpendwa Rais Samia katika kupambana na umaskini na kuinua maisha ya watu pamoja na kusaidia kuondoa umaskini hapa Nchini.
Ndio sababu Kabla ya kufikwa na umauti Hayati Papa alichukua wasaa na muda wake wa kumuandikia Rais wetu kipenzi Barua. hii ni heshima kubwa kwa Taifa letu na RAIS wetu kipenzi ambaye kila uchao ameendelea kuipatia heshima nchi na Taifa letu kwa uongozi wake shupavu,imara na madhubuti na wenye kuleta matumaini kwa watu na makundi yote . Ndio sababu ya kuona kiongozi mkubwa kama papa licha ya kusumbuliwa kiafya lakini alikaa mezani na kumuandikia barua Rais wetu Mpendwa.
Kwa hakika Tanzania tuna kila sababu ya kujivunia Rais wetu,tuna kila sababu ya kuendelea kumuunga mkono na kumuombea afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania. Dunia inaendelea kutambua mchango wa Mama kwa utumishi wake uliotukuka ambao umekuwa Daraja la matumaini kwa watu.
Rais wetu ameendelea kufanyika baraka Kwa Maisha ya watu pamoja na kuwa taa ya matumaini katika Dunia hii.
Hii hapa Barua ya PapaView attachment 3317666
Hapa Ni ujumbe wa Rais wetu Mpendwa akitoa shukurani zake na kumuombea Papa ili apumzike kwa amani na Mungu amuangazie Mwanga wa milele.View attachment 3317667
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hivi visifa vya machawa ndivyo vina mfanya huyu Rais ana sahau wajibu wake kwamba aliapa kuitii na kuilinda katiba na kuwa kiongozi wa Watanzania wote. Acheni ujinga..Ndugu zangu Watanzania,

Wewe unalijua?Mungu akusamehe sana maana hujui ulitendalo
😁😁😁🙌🏾Mbona wewe huachi uchawi? 😂😂
Wanaupokea na kuutangaza kwa furaha na maombi juu.. Lakini wakimbia habari za haki, Hawataki, wanasema AmaniUjumbe wa Papaa mnaupokea kwa shangwe wa Maaskofu mnaukataa. Inachekesha.
RubbishNdugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Alipata Bahati ya kipekee ya kupata na kuandikiwa Barua na mkuu wa kanisa la katoliki Duniani Hayati Papa Francis siku chache au muda mfupi kabla ya kuaga Dunia.
Hii ni katika heshima na kutambua mchango wa Rais wetu Mpendwa Mama Samia katika Kudumisha Amani hapa Nchini na kuifanya Tanzania kuwa kimbilio la wanyonge . na hivyo kufanya watu kuabudu kwa uhuru na utulivu na viongozi wa Dini kuhubiri neno la Mungu kwa amani na utulivu mkubwa.
Soma Pia: Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88
Lakini papa Francis ambaye alikuwa mtu mwenye upendo kwa maskini na mwenye moyo wa kujitoa na kujitolea kusaidia maskini. amekufa akitambua mchango mkubwa wa Mama yetu Mpendwa Rais Samia katika kupambana na umaskini na kuinua maisha ya watu pamoja na kusaidia kuondoa umaskini hapa Nchini.
Ndio sababu Kabla ya kufikwa na umauti Hayati Papa alichukua wasaa na muda wake wa kumuandikia Rais wetu kipenzi Barua. hii ni heshima kubwa kwa Taifa letu na RAIS wetu kipenzi ambaye kila uchao ameendelea kuipatia heshima nchi na Taifa letu kwa uongozi wake shupavu,imara na madhubuti na wenye kuleta matumaini kwa watu na makundi yote . Ndio sababu ya kuona kiongozi mkubwa kama papa licha ya kusumbuliwa kiafya lakini alikaa mezani na kumuandikia barua Rais wetu Mpendwa.
Kwa hakika Tanzania tuna kila sababu ya kujivunia Rais wetu,tuna kila sababu ya kuendelea kumuunga mkono na kumuombea afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania. Dunia inaendelea kutambua mchango wa Mama kwa utumishi wake uliotukuka ambao umekuwa Daraja la matumaini kwa watu.
Rais wetu ameendelea kufanyika baraka Kwa Maisha ya watu pamoja na kuwa taa ya matumaini katika Dunia hii.
Hii hapa Barua ya PapaView attachment 3317666
Hapa Ni ujumbe wa Rais wetu Mpendwa akitoa shukurani zake na kumuombea Papa ili apumzike kwa amani na Mungu amuangazie Mwanga wa milele.View attachment 3317667
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Na miongo yako yote uliyoishi duniani hujui barua kama hizi huandikwa na idara ya diplomasia Kwa nchi zote zenye uhusiano wa kibalozi na Vatican.Mungu wa mbinguni ni mwema wakati wote 😁🇹🇿
Ndugu zangu Watanzania,

Wanakimbilia kwenye kichaka cha kuchanganya dini na siasa.Wanaupokea na kuutangaza kwa furaha na maombi juu.. Lakini wakimbia habari za haki, Hawataki, wanasema Amani
Sasa wivu uko wapi hapo Bwana Lucas? Ama umeanza kupata syndrome za masifu?Acha wivu wako hapa wewe. Najua wenye chuki binafsi mmeumia sana.
Umewaza kama mimi.Na miongo yako yote uliyoishi duniani hujui barua kama hizi huandikwa na idara ya diplomasia Kwa nchi zote zenye uhusiano wa kibalozi na Vatican.
Papa hahusiki kuandika jumbe hizi za kidiplomasia after alikuwa ana pumulia mashine wakati huo .
Mtaji wa CCM ni ujinga wa wafuasi wao.
Watu washaingizwa chaka.Na miongo yako yote uliyoishi duniani hujui barua kama hizi huandikwa na idara ya diplomasia Kwa nchi zote zenye uhusiano wa kibalozi na Vatican.