ilishangaza sana aise,Oct29 yalikuwa maandamano au zilikuwa ni vurugu?
Haya hapa ndio maandamano
View: https://youtu.be/i26Ae91J380?si=4_KrCM19JMS7N9iR
Ustadhi. Tunaandaa pilau la nyama ya ngamia. tutafutane inboxMsingi wa Kisheria ulikiukwa kwenye yale wanataka kuyaita ni Maandamano halali
Halali bila kufuata halali
ni haramu!!!!!!!
wewe utakua front au lah?Sasa nakwambia 2030 Ali inaweza kua mbaya zaidi ya hii
Wasiwasi wako hupendi ukweli kabisa usemwe, mnapenda dunia isikie uongo wenu kuwa waliuliwa watu wasiokuwa na hatia ili kuficha makosa yenu. Watanzania na dunia sio wajinga. Hata wazungu wanajua maandamano ni nini na yanafananaje. Ndiyo maana dunia nzima imewapa mgongo mpambane na upuuzi wenu ulioathili sio tu wanzania wote bali hata wageni (hao wazungu) wanaoishi hapa na waliowekeza hapa.Unahangaika mno, hivi hata dhamira unayo kweli!!??
ICC mpaka wakavaa miwani kali kuangalia vizuri kama wataona maandamano kama haya ili waje fasta lakini hawakuona kitu kama hiki.Mmeua watoto wa watu leo mnajitafuta kwa unabii wa Elninyo ya kichina
Sikubaliani na yeyoteICC mpaka wakavaa miwani kali kuangalia vizuri kama wataona maandamano kama haya ili waje fasta lakini hawakuona kitu kama hiki.
Wazungu ni hodari na wazoefu wa maandamano pia, wakaona ugaidi badala ya maandamano.
Unadhani kama yale yangekuwa maandamano Ndejembi angeruhusiwa kukanyaga Marekani? Maana yake mmejambia kwenye kibuyu.
Mtoto nae lazima akubali kuwa yeye ni mtoto hakujua alilotenda kanya kwasababu ya utoto ili mama yake ampanguse mavi matakoni na mama aupanguse mkono wenye mavi.Mim
Sikubaliani na yeyote
Sema watoto kuwa machizi ni haki yao wewe Fala mzee unaishi nao vipi una deal nao ndio hekima ya uzazi
Watoto wanapaswa kutulizwa na kuwakaza kidogo
Mtoto Kanyea mkono wewe unaukata.!? Stupid ever happen
Hili ni Dole la kati kila wakidelemka linawatekenya usenge mbaya kuwahi kutokea kwenye mamlaka.. Bibi kugombana na wajukuu kisa wamevunja mahindi shambani.!