Mambo ya CCM wewe yanakuhusu vipi. Mbona chadema kila anaehoji wizi wa Heche anafukuzwa chama na hakuna mwanaCCM anaeingilia hayo?Si uchaguzi ulifanyika na kura zilihesabiwa na mtu akapata kura zaidi ya 31M au ?
Dodoma watu walipindisha sheria akapichwa zuzu kitini huluona kama zile ni vurugu.
Unaangalia wajukuu wanachezaje, ukiona wajukuu wakubwa wanacheza kwa kuvuana nguo unawatia mikwaju ili iwe fundisho kwa wajukuu wadogo wasicheze aina hiyo ya mchezo.Mim
Sikubaliani na yeyote
Sema watoto kuwa machizi ni haki yao wewe Fala mzee unaishi nao vipi una deal nao ndio hekima ya uzazi
Watoto wanapaswa kutulizwa na kuwakaza kidogo
Mtoto Kanyea mkono wewe unaukata.!? Stupid ever happen
Hili ni Dole la kati kila wakidelemka linawatekenya usenge mbaya kuwahi kutokea kwenye mamlaka.. Bibi kugombana na wajukuu kisa wamevunja mahindi shambani.!
Mbona lile swali la "WHO ARE YOU?" wazungu hawajalijibu mpaka leo?Mim
Sikubaliani na yeyote
Sema watoto kuwa machizi ni haki yao wewe Fala mzee unaishi nao vipi una deal nao ndio hekima ya uzazi
Watoto wanapaswa kutulizwa na kuwakaza kidogo
Mtoto Kanyea mkono wewe unaukata.!? Stupid ever happen
Hili ni Dole la kati kila wakidelemka linawatekenya usenge mbaya kuwahi kutokea kwenye mamlaka.. Bibi kugombana na wajukuu kisa wamevunja mahindi shambani.!
Roho za waliokufa zinamtafuna Lissu na wote waliokuwa nyuma ya mapinduzi. Hebu mwangalie vizuri TAL utangundua wale vijana waliowaingiza mkenge kwa ahadi kuwa lazima watashinda zinamjia usiku na mchana kumuuliza kwanini unatukana mchana kweupe.Ndoa yangu imevunjika awamu hii na sijutii kabisa.
Uzito wa damu umenitiisha
Kuna Roho zisizo na hatia zinarandaranda kutukera tusiwe na utulivu.! 😎
Sema nini tupo Inje ya mstari hata kama hatupendi
Kwakuwa yalitokea na mimi nilikuwepo na nikakaa kimya mother Gaia nipe gunia langu na kwa moyo mmoja nitalibeba 🙏
We Fala 2150 hakuna takataka yeyote kati yetu itakumbukwaRoho za waliokufa zinamtafuna Lissu na wote waliokuwa nyuma ya mapinduzi. Hebu mwangalie vizuri TAL utangundua wale vijana waliowaingiza mkenge kwa ahadi kuwa lazima watashinda zinamjia usiku na mchana kumuuliza kwanini unatukana.
Chama chochote kinakufa kama hakitendei watu mambo kwa usawa. CCM kimedumu kwasababu watu wote wako sawa chini ya CCM. CCM sio chama cha mtu, kabila, dini wala jinsia ya watu. Makabila yote ya dini zote na jinsia zote nchini yamo mule na yana equal chance ya kuwa viongozi wa chama. Chama hakina mwenyewe, hakina kabila dogo wala kabila kubwa, wala dini yoyote.We Fala 2150 hakuna takataka yeyote kati yetu itakumbukwa
Acha kujipa kiburi cha kubeba ulimwengu
Kuna mafala na hekima zao miaka mia 2 iliyopita leo hata kuhisi walikuwepo hutuna hizo hisia
Na ndio wazazi wetu acha kujikuta unaJua
Sasa kama upo humu Tambua sio kila mtu ni mwana siasaChama chochote kinakufa kama hakitendei watu mambo kwa usawa. CCM kimedumu kwasababu watu wote wako sawa chini ya CCM. CCM sio chama cha mtu, kabila, dini wala jinsia ya watu. Makabila yote ya dini zote na jinsia zote nchini yamo mule na yana equal chance ya kuwa viongozi wa chama. Chama hakina mwenyewe, hakina kabila dogo wala kabila kubwa, wala dini yoyote.
Hakuna nchi duniani ambayo kila mtu anaishi maisha yake tu bila kuhojiwa na bila kutimiza wajibu fulani kwanza. Hata akina P Diddy hawaishi maisha yao tyuuu bila checks and balance. Msiwahadae vijana kuwa wanaishi kuishi watakavyo bila kutimiza wajibu.Sasa kama upo humu Tambua sio kila mtu ni mwana siasa
Mimi huwa napenda mpira bila ya kuwa shabiki
Naipenda nchi yangu bila mtu yeyote kuniamulia.!
Mf: kuwa na familia kama jf kipindi hiki cha nyakati kwangu ni baraka.. Bila kujua milengo yao
Wewe kuona fisiemu ni mlengo sio shida zangu
Mimi napenda watu wanaishi maisha yao
Kujikuta unatimizia watu milengo yao ni laana yako
Sasa mpaka ujifanye kuongea kibabe hivyo wewe utakuwa salama?!!! Jinga kabisa, jaribuni tena kuiharibu Tanzania muone.Sasa nakwambia 2030 Ali inaweza kua mbaya zaidi ya hii
Ikitokea watu walioitishia serikali na kukata watu vidole wakishinda kesi tutawapa adhabu kubwa wale wote waliopa kulinda Katiba na Jamhuri na waliopaswa kulinda raia na mali zao. Hawakufaa kuaminiwa kwa kiasi hicho na wananchi. Nchi itakuwa hailindwi wala Katiba na watu hatutajua kesho hali itakuwaje.Sasa mpaka ujifanye kuongea kibabe hivyo wewe utakuwa salama?!!! Jinga kabisa, jaribuni tena kuiharibu Tanzania muone.
Haya ndiyo maandamano ICC, UN, EU, AU, Commonwealth na wazungu wanayoyajua, yale ya akina chadema sio maandamano maana hayakufikia vigezo vya maandamano haya hapa ya Ujerumani mwanachama wa EU.Oct29 yalikuwa maandamano au zilikuwa ni vurugu?
Haya hapa ndio maandamano
View: https://youtu.be/i26Ae91J380?si=4_KrCM19JMS7N9iR
Chama kuwa kilivyo sio hojaHakuna nchi duniani ambayo kila mtu anaishi maisha yake tu bila kuhojiwa na bila kutimiza wajibu fulani kwanza. Hata akina P Diddy hawaishi maisha yao tyuuu bila checks and balance. Msiwahadae vijana kuwa wanaishi kuishi watakavyo bila kutimiza wajibu.
Mtu kama mm ndiyo maana nahangaika kuandika humu kila leo kujaribu kupambana na wapotoshaji wa vijana wasiojua hili wala lile.
Mtu kama Lissu, kwake yeye kila mtu hajui ila yeye tu. Mimi ni nilikuwa mwanachadema nina kadi ya karatasi na ya mtandao. Hata hoja ya no reforms no election ni wazo lake yeye wakati wa mkiti Mbowe. Lissu is uncontrolable iwe bungeni, iwe kwenye chama, iwe TLS, iwe kwenye mikutano ya kitaaluma and everywhere. Safari hii amekiingiza chama na wanachama kwenye mtaro wa kina kirefu pale alipowakataza wenzake woooote wasusie uchaguzi wasigombee nafasi yoyote huku akijua yeye alikuwa mbunge kwa miaka 10 mfululizo kwakutumia tume hiihii. Kwa ujuaji wake aliwakasirikia hata akina Halima mdee wakawaita majina ya hovyo kabisa kisa wamekuwa wabunge wa viti maalum.
Sasa chama kimekosa bara na pwani, pangani na bweni, kipo tu kama kundi lenye hasira.
Kwa nini kama mna ushahidi wa watu kuwa na hatia hamuuweki hadharani au hamuwafungulii mashitaka hao watu!!??Wasiwasi wako hupendi ukweli kabisa usemwe, mnapenda dunia isikie uongo wenu kuwa waliuliwa watu wasiokuwa na hatia ili kuficha makosa yenu. Watanzania na dunia sio wajinga. Hata wazungu wanajua maandamano ni nini na yanafananaje. Ndiyo maana dunia nzima imewapa mgongo mpambane na upuuzi wenu ulioathili sio tu wanzania wote bali hata wageni (hao wazungu) wanaoishi hapa na waliowekeza hapa.
Mlijisaidia haja kumbwa halafu mkachambia na majani ya mgomba mkajitapakaza kinyesi wenyewe.
Watoto wameuwawa na magaidi kwenye maandamanoMmeua watoto wa watu leo mnajitafuta kwa unabii wa Elninyo ya kichina
Kwa hiyo kama 2050 hatutakuwepo, ndio uache watu waharibu amani?We Fala 2150 hakuna takataka yeyote kati yetu itakumbukwa
Acha kujipa kiburi cha kubeba ulimwengu
Kuna mafala na hekima zao miaka mia 2 iliyopita leo hata kuhisi walikuwepo hutuna hizo hisia
Na ndio wazazi wetu acha kujikuta unaJua