Hii imekaaje hii? Maana ni kama Sijaelewa aisee

Ni kawaida tu. Sio kila mara mta fall under same interests sasa wengine huona aibu kukutaa kwenye baadhibya masuala kisa id zenu zimeshazoena.

Ila sisi wengine tunakubaliana na weww uzi huu, uzi ule tunakataana ,uzi mwingine tunaungana tena kuwakataa wengine ,uzi mwingine tunarud kitu kimoja 😂😂
NOthing personal
 
Mtume kuna muujiza huku...... Nini kimetokea?? Tatizo kinaanzia kwenye ID kwanini mtu uwe na ID mbili kwani maana hatufahamiani kwa majina au sura
ID nyingi tunazo mkuu,lakini zinafahamika....sasa mtu kabadili jina tu kageuka adui....thread zake za kitambo zinakusanua
 
Yeah,siyo Kila oni likubaliwe
 
Kila ID imepewa character tofauti, akiswitch tu marafiki wote wanaweza kua maadui kulingana na character ya ID husika😅😅😅...

Ila humu hata sisi wazee kuna muda tunafanya utoto ili tuendane na generation mpya ilimradi tupunguze punguze makali ya haya magonjwa ya uzeeni kama visukari na presha za hapa na pale so tuvumiliane tu mkuu😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…