Hii imekaaje hii? Maana ni kama Sijaelewa aisee

🤣🤣🤣Ulivyoandika sasa😅 upo serious sana mkuu
 
Mateso ni yale yale tu mamii😕
Kaza mwendo mom, hakuna kitu rahisi... jitahidi hata uwe na desire kiasi gani usitumbukie kwa mtu moyo hujampenda.Usithubutu! Alone is better than wrong one partner.
 
🤣🤣🤣Wewe ndiyo umekuja kuharibu sasa.ila hii ndiyo jf...no way out
Kuna mtu huwa anajitukana kabisa kwa ID yake ya pili tena ni matusi ya kujiponda na kujidhalilisha. Mwanzoni unaweza kujiuliza hivi member A alimkosea nini B mbona hampendi kiasi hiki kumbe ni mtu mmoja😂😂😂😂😂.
JF ni zaidi ya tuijuavyo
 
🤣🤣Ni hatari sana,na haitakiwi kuichukulia serious sana, lazima uweuke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…