Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Barua yako ya kuaga haikujibiwa na mods nini??Very addicted....najaribu kuiacha jf nashindwa mkuu
Ugweh..!! Embu acha taarabu, fanya HIPOHOP, taja ID kongwe na hiyo ID mficho ya huyo mwenye uprofessional kwenye usnitch..!!Kwenye ID kongwe tunachat vizuri kama marafiki wapatanao, kwenye ID mficho comments zangu unazikandia🤔
Au hii nimeigundua pekeyangu wakuu? Hii ni mbaya sana.Yaan ni usnitch wa hali ya juu,mmekuwa professional na usnitch eti?
Mbona wengine hatuna nongwa hata ukinijibu vibaya au hunipendi,najua na linaisha hapohapo...kama ni kukuignore au kukujibu.Sasa hii ya mgongoni kwangu hii,hapana jamani tunakoseana sana.
Naomba comment numberAmejitaja mkuu,soma comments
Sema nini?
Kuacha JF ni sawa na kuachana na EX ambaye hamkugombana. Mliachana kisa umbali tu au ndugu walizinguaVery addicted....najaribu kuiacha jf nashindwa mkuu
Kumbe heee !!!!🤣🤣🤣 Fake ya Fake yake.
Kuna muda unacheka tu, kisha Tunaachana nayo tu, Unasema kama tiv Yanini mie.
Mfano kama Kuna lile jinga IB Lina avator ya Elon Lina I'd kama tano likianza kujipa vyeo na subordinates wake eti ndio kama wanaliunga mkono Rais wa singo nini sijui. Mavi matupu.
Uvivu tu wa kwenda SiteKumbe heee !!!!