Hii imevunja rekodi ya dunia kwa polisi kuwakamata "wahalifu" na kuwatupa porini

Kwani hao Majambazi wa Mama wamekanusha?
Mwndishi wa habari kasoma VETA huyo alitakuwa kuhoji pande zote

Yeye na mhariri kichwani hamnzo

Ilikuwa kazi ya mhariri kabla kuruhusu irushwe alitakiwa amdai majibu ya upande wa pili

TCRA chukueni hatua dhidi ya ITV na mhariri na huyo mpeleka Taarifa kwa kukiuka maadili ya utangazaji inayotaka kutoa habari balanced
 
Hapa wahalifu ni polisi na siyo wale waliowasingizia na kuwatelekeza porini waliwe na wanyama wakali. Senzi kabisa polisi
 
Suala la ukabila kenya si la martha ni suala la waasisi. Kazaliwa kalikuta kwa hiyo ni pointeless kabisa
 
Kilaza wa Samia mwingine huyu hapa!
 
Suala la ukabila kenya si la martha ni suala la waasisi. Kazaliwa kalikuta kwa hiyo ni pointeless kabisa
Litadumu hadi lini huo ukabila Kenya ? Halirekebishiki na wasomi kama Martha Karua nk

Waasisi wa ukabila Kenya walishakufa miaka kibao hawako duniani

Yeye Martha Karua kama generation ingine kafanya nini kuumaliza?
.watanzania tunamtaka arudi Kenya aka brain storm namna ya kumaliza ukabila nchini kwake badala ya kuparamia mambo ya Tanzania
 
Tunajadili Majambazi wa Samia na siyo ukabila wa Kenya!

Think big Kilaza wa Samia!
 
Hapa wahalifu ni polisi na siyo wale waliowasingizia na kuwatelekeza porini waliwe na wanyama wakali. Senzi kabisa polisi
Hatimaye watekaji, watesaji na wauaji wa wananchi waliodaiwa kutojulikana wamejulikana au siyo ndugu zangu. Kwa hakika lilikuwa ni swala la muda tu! Hivi sasa na kwa jeuri ya ajabu wameamua kukamata hadharani, kupiga na kutesa hadharani halafu wanatupa porini kama takataka!
 
Polisamia hao.
 
Ushahidi wa kutupwa umepata pande zote polisi na Chadema au umesilikiliza upande wa CHADEMA tu

ITV taarifa yao ya habari leo ilikuwa chini ya viwango vya uandishi wa habari
.hawakutoa nafasi upande wa pili wa Polisi ku jibu hoja
๐Ÿšฎ
Kwa hiyo wahusika wenyewe hawajui ila wewe ambaye hukuwepo unajua?!!

Kwamba wahanga ambao ni watu wazima hawakuona na kutambua kuwa walikamatwa na nani wakapigwa na nani, wakapakiwa kwenye magari ya nani na kupelekwa kutelekezwa msituni?!

Unafikiri pia hakuna mashuhuda walioona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ