Hiyo ni kazi ya nwandishi wa habari kupata taarifa za upande wa pili🚮
Kwa hiyo wahusika wenyewe hawajui ila wewe ambaye hukuwepo unajua?!!
Kwamba wahanga ambao ni watu wazima hawakuona na kutambua kuwa walikamatwa na nani wakapigwa na nani, wakapakiwa kwenye magari ya nani na kupelekwa kutelekezwa msituni?!
Unafikiri pia hakuna mashuhuda walioona?
Kama wakili Asimane kutetea kumalizika ukabila Kenya kwanzaHuyu ni wakili!
polisi wamekula kona hawakusema hiloUshahidi wa kutupwa umepata pande zote polisi na Chadema au umesilikiliza upande wa CHADEMA tu
ITV taarifa yao ya habari leo ilikuwa chini ya viwango vya uandishi wa habari
.hawakutoa nafasi upande wa pili wa Polisi ku jibu hoja
Kilaza wa Samia huwezi kujua kwani unatumia tumbo kufikiri!Kama wakili Asimane kutetea kumalizika ukabila Kenya kwanza
Mtangazaji hakusema hilo usiwalishe manenopolisi wamekula kona hawakusema hilo
Basi wamejitupa wenyeweUshahidi wa kutupwa umepata pande zote polisi na Chadema au umesilikiliza upande wa CHADEMA tu
ITV taarifa yao ya habari leo ilikuwa chini ya viwango vya uandishi wa habari
.hawakutoa nafasi upande wa pili wa Polisi ku jibu hoja
Pamoja na kwamba TCRA ni wapenzi wa Samia lakini hawatathubutu!Mtangazaji hakusema hilo usiwalishe maneno
ITV wana kesi ya kujibu TCRA
TCRA wake up na wizara ya habari wake up
Watajijua wenyewe hadi upande wa pili uongee kama taaluma na maadili ya uandishi wa habari na utangazaji unavyotakaBasi wamejitupa wenyewe
Time will tellPamoja na kwamba TCRA ni wapenzi wa Samia lakini hawatathubutu!
Hakuna tofauti na Tanzania ambapo ccm inaendesha ubaguzi na unyanyasaji wa wananchi kwa misingi ya itìkadi za kisiasaLitadumu hadi lini huo ukabila Kenya ? Halirekebishiki na wasomi kama Martha Karua nk
Waasisi wa ukabila Kenya walishakufa miaka kibao hawako duniani
Yeye Martha Karua kama generation ingine kafanya nini kuumaliza?
.watanzania tunamtaka arudi Kenya aka brain storm namna ya kumaliza ukabila nchini kwake badala ya kuparamia mambo ya Tanzania
Lusu Mbowe,Lema nk ungekwepo wasingeweza kuwa wabunge wa bunge la TanzaniaHakuna tofauti na Tanzania ambapo ccm inaendesha ubaguzi na unyanyasaji wa wananchi kwa misingi ya itìkadi za kisiasa
Wewe ni gaidi, umbwa wewe!Una ushahidi hakikika au unasikiliza upande mmoja? Tu wa CHADEMA?
Pimbi wewe na chawa mpumbavu sana!Eti wanasubiri nini?
Tarehe 28 mje tena muone kipigo chake
Tena ndio watakuja kwa wingi zaidi.Eti wanasubiri nini?
Tarehe 28 mje tena muone kipigo chake
Si amevunja sheria na wala hana Umoja?Mtu anaachia mbwa wamle binadamu afu anafurahia aiseee,🤔
Wewe chawa mbona husimamii kumaliza ubaguzi wa ccm kwa wananchi wa Tanzania kabla ya kuanza kumshambulia wakili msomi Martha Karua anayejitolea kutetea Watanzania wanyonge wanao onewa na ccm?!Kama wakili Asimane kutetea kumalizika ukabila Kenya kwanza
Mwanamke hakatai mimba, ikiingia ni ya kwake hiyo.Una ushahidi hakikika au unasikiliza upande mmoja? Tu wa CHADEMA?
Hao walikuwa wabunge kabla ubaguzi unaoendelea sasa haujarasimishwa na kusimikwa awamu ya 5Lusu Mbowe,Lema nk ungekwepo wasingeweza kuwa wabunge wa bunge la Tanzania