Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Watekaji wamejulikana RasmiHii ni aibu! Hii ni fedheha kwa jeshi letu la polisi! Hii imevunja rekodi ya dunia kwa polisi kuwakamata "wahalifu" na kuwatupa porini badala ya kuwaweka mahabusu! Eti polisi wa Tanzania wanatupa raia wao pori la Mabwepande waliwe au waumizwe na wanyama wakali!
Hii ni aibu kwa Rais Samia kuongoza jeshi la kigaidi lisilo na maadili! Ni ajabu kwa dunia Rais Samia kuendelea kumuacha IGP Wambura ofisini! Ni fedheha kwa Tanzania Jumanne Murilo kuwa ofisini hadi muda huu! Chalamila anangoja nini ofisini!
Hili Jeshi la polisi la Tanzania tofauti na majeshi yote ya kigaidi duniani ambayo yakiteka raia yanawatunza na kuanza kudai fedha za kuwakomboa jeshi la kigaidi la Tanzania linawatupa porini wamezwe na chatu na kuliwa na simba!
Ni aibu ya Karne!
Aibu yako Samia!
Mnooo lo
Polisi ni jeshi la ccm na ni adui wa raia sio jeshi la wananchi tupambane nao tukipata nafasi.Hii ni aibu! Hii ni fedheha kwa jeshi letu la polisi! Hii imevunja rekodi ya dunia kwa polisi kuwakamata "wahalifu" na kuwatupa porini badala ya kuwaweka mahabusu! Eti polisi wa Tanzania wanatupa raia wao pori la Mabwepande waliwe au waumizwe na wanyama wakali!
Hii ni aibu kwa Rais Samia kuongoza jeshi la kigaidi lisilo na maadili! Ni ajabu kwa dunia Rais Samia kuendelea kumuacha IGP Wambura ofisini! Ni fedheha kwa Tanzania Jumanne Murilo kuwa ofisini hadi muda huu! Chalamila anangoja nini ofisini!
Hili Jeshi la polisi la Tanzania tofauti na majeshi yote ya kigaidi duniani ambayo yakiteka raia yanawatunza na kuanza kudai fedha za kuwakomboa jeshi la kigaidi la Tanzania linawatupa porini wamezwe na chatu na kuliwa na simba!
Ni aibu ya Karne!
Aibu yako Samia!
1: Hivi kumbe wahalifu wanatakiwa kutupwa porini?Hii ni aibu! Hii ni fedheha kwa jeshi letu la polisi! Hii imevunja rekodi ya dunia kwa polisi kuwakamata "wahalifu" na kuwatupa porini badala ya kuwaweka mahabusu! Eti polisi wa Tanzania wanatupa raia wao pori la Mabwepande waliwe au waumizwe na wanyama wakali!
Hii ni aibu kwa Rais Samia kuongoza jeshi la kigaidi lisilo na maadili! Ni ajabu kwa dunia Rais Samia kuendelea kumuacha IGP Wambura ofisini! Ni fedheha kwa Tanzania Jumanne Murilo kuwa ofisini hadi muda huu! Chalamila anangoja nini ofisini!
Hili Jeshi la polisi la Tanzania tofauti na majeshi yote ya kigaidi duniani ambayo yakiteka raia yanawatunza na kuanza kudai fedha za kuwakomboa jeshi la kigaidi la Tanzania linawatupa porini wamezwe na chatu na kuliwa na simba!
Ni aibu ya Karne!
Aibu yako Samia!
1:Kuwang'atisha watu Mbwa?Hii ni aibu! Hii ni fedheha kwa jeshi letu la polisi! Hii imevunja rekodi ya dunia kwa polisi kuwakamata "wahalifu" na kuwatupa porini badala ya kuwaweka mahabusu! Eti polisi wa Tanzania wanatupa raia wao pori la Mabwepande waliwe au waumizwe na wanyama wakali!
Hii ni aibu kwa Rais Samia kuongoza jeshi la kigaidi lisilo na maadili! Ni ajabu kwa dunia Rais Samia kuendelea kumuacha IGP Wambura ofisini! Ni fedheha kwa Tanzania Jumanne Murilo kuwa ofisini hadi muda huu! Chalamila anangoja nini ofisini!
Hili Jeshi la polisi la Tanzania tofauti na majeshi yote ya kigaidi duniani ambayo yakiteka raia yanawatunza na kuanza kudai fedha za kuwakomboa jeshi la kigaidi la Tanzania linawatupa porini wamezwe na chatu na kuliwa na simba!
Ni aibu ya Karne!
Aibu yako Samia!
Majambazi wa Samia wamewehuka!1: Hivi kumbe wahalifu wanatakiwa kutupwa porini?
2: Hivi ni Kanuni gani ilitumika?
Mkuu Uliona Wapi Polisi wanakamata mharifu bdala ya kumpeleka Selo wanamtupa porini?ππKama wakili Asimane kutetea kumalizika ukabila Kenya kwanza
Waulizwe vizuri.Yawezekana mahabusu zao mpya ni Mabwepande!Hii ni aibu! Hii ni fedheha kwa jeshi letu la polisi! Hii imevunja rekodi ya dunia kwa polisi kuwakamata "wahalifu" na kuwatupa porini badala ya kuwaweka mahabusu! Eti polisi wa Tanzania wanatupa raia wao pori la Mabwepande waliwe au waumizwe na wanyama wakali!
Hii ni aibu kwa Rais Samia kuongoza jeshi la kigaidi lisilo na maadili! Ni ajabu kwa dunia Rais Samia kuendelea kumuacha IGP Wambura ofisini! Ni fedheha kwa Tanzania Jumanne Murilo kuwa ofisini hadi muda huu! Chalamila anangoja nini ofisini!
Hili Jeshi la polisi la Tanzania tofauti na majeshi yote ya kigaidi duniani ambayo yakiteka raia yanawatunza na kuanza kudai fedha za kuwakomboa jeshi la kigaidi la Tanzania linawatupa porini wamezwe na chatu na kuliwa na simba!
Ni aibu ya Karne!
Aibu yako Samia!
Au huwa wana-PGO wanawaogopa mahabusu na kuwakimbia huko porini?Mkuu Uliona Wapi Polisi wanakamata mharifu bdala ya kumpeleka Selo wanamtupa porini?ππ
Ulisikia polisi wakisema hivyp au umesikiliza upande wa CHADEMA tu?Mkuu Uliona Wapi Polisi wanakamata mharifu bdala ya kumpeleka Selo wanamtupa porini?ππ
πππAu huwa wana-PGO wanawaogopa mahabusu.
Nimeona waliotupwa MabwepandeUlisikia polisi wakisema hivyp au umesikiliza upande wa CHADEMA tu?
Kwa hiyo kama umeona mfano ukahojiwa kuwa wametupwa na nani na utoe ushahidi unao?Nimeona waliotupwa Mabwepande