Hii ina maana gani, kwanini ulie wakati umetangaza mwenyewe kujivua uanachama

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
GrFVW_AXQAEtaDx.jpg

NI kwamba ametapeliwa na wajanja.

Wamekula pesa za madalali sasa wanalazimika kuzilipa kwa maumivu makubwa kwa lazima upende usipende.

Ahadi alizoahidiwa hazijatimizwa au ni ngumu kutimizwa.

Dhamira inamsuta kuwa anayotenda si kweli yanatoka moyoni.

Fuko kakabidhiwa mtu mmoja (Jon) wengine hawajui kilichomo yeye ndiye anapanga nani apewe leo na nani atangaze kujitoa.

Inauma. Ni sawa na kumuacha mme au mke kwa shinikizo au mkumbo ungali bado unampenda.

Poleni sana watia nia, baba mlevi keshakula mahari lazima uolewe ukaishi kwa bwana mpya usiyempenda.
 
View attachment 3336343

Poleni sana watia nia.
Hata kama ni njaa , lakini hii nayo umezidi.

J Nature😀
 
Umenikumbusha mbali sana mkuu, Juma Kassim Nature a k.a. Kibra. Zile Pini na beats za wimbo wake ni noma.
Noma sana....jamaa anasema we ni Mwanamke gani unahongwa laki moja kila siku.

Hata kama ni njaa Dada hii nayo imeizidi . Tena una bahati sijakuoa ningekupa taraka na masikio matatu juu.
😀😀
 
Mbowe alikuwa anataka kujiunga na chauma Ila watu wenye Akili nyingi wakamshauri utulie ili kulinda heshima yake...hawa mafala wengine wamehadia viti 20 vya ubunge wakati hukohuko CCM wengi wamekataa Hilo dili ya kuwaachia ubunge hawa wasaliti.

Vita ya safari hii ni Kali Sana ndani ya CCM sembuse hawa WAJINGA
 
View attachment 3336343

NI kwamba ametapeliwa na wajanja.

Wamekula pesa za madalali sasa wanalazimika kuzilipa kwa maumivu makubwa kwa lazima upende usipende.

Ahadi alizoahidiwa hazijatimizwa au ni ngumu kutimizwa.

Dhamira inamsuta kuwa anayotenda si kweli yanatoka moyoni.

Fuko kakabidhiwa mtu mmoja (Jon) wengine hawajui kilichomo yeye ndiye anapanga nani apewe leo na nani atangaze kujitoa.

Inauma. Ni sawa na kumuacha mme au mke kwa shinikizo au mkumbo ungali bado unampenda.

Poleni sana watia nia, baba mlevi keshakula mahari lazima uolewe ukaishi kwa bwana mpya usiyempenda.
Dada wamemtukana sana kwenye kundi la whasapp
 
wameuchuuza utu wao kipumbavu sana!
 
Usije ukaoa mwanamke aliyeachika Kwa mwenzako ukajua labda na mwenzio alikuwa hajui kutunza,akija kwako na wewe atakuacha, tabia ni kilema.
Ni mjinga pekee anaweza kuwapisha wasaliti wagombee wakati Wenye Chama Chao wapo
 
Back
Top Bottom