Wameyataka wenyewe kwa tamaa zao wasitulilie sisi.Utake usitake utaolewa hata kama mume humpendi🤣🤣🤣
Maamuzi ya wanaharakati au maamuzi ya chama nayeye akiwepo.Analia kwasababu amekifanyia kazi chama miaka mingi tena bila malipo akijua siku moja lazma anaweza kuchukua jimbo kupitia CHADEMA ila sasa awezi tena maana chama akishiriki uchaguzi kwa maamuzi ya wanaharakati.
Wanazidi kujivua nguo,Mbowe mtu wa hovyo sana sikutegemea angeishia kufanya ujuha huu wa kutumiwa na CCM kukibomoa chama alichoshiriki kukijenga kwa jasho na damu.
kuachwa ni kitu mbaya sana aise,
kila mtu unamuona ni mbaya tu kwako, huku hasira zimekujaa unaropoka ropoka tu kama mwendawazimu 🤣
Wote wanaohama wanamtaja yeye na yeye kukaa kimya ni kuwa hao kweli ni watu wakeMbowe asihusishwe na upumbavu huo!
nailazimisha furaha ingawa moyoni na majonzi 🐒
maumivu ya kuachwa hayajifichi kwa sura, maneno wala matendo.Vyovyote vile mtu mzima kulia mbele za watu kwa kitendo ulichotenda ukiwa na akili timamu ni ujinga.
Mimi nataka waende hyo Chauma tuone nguvu yao iko wapiUsije ukaoa mwanamke aliyeachika Kwa mwenzako ukajua labda na mwenzio alikuwa hajui kutunza,akija kwako na wewe atakuacha, tabia ni kilema.
Ni mjinga pekee anaweza kuwapisha wasaliti wagombee wakati Wenye Chama Chao wapo
nailazimisha furaha ingawa moyoni na majonzi 🐒
acha tupate tangazo la faraja kidogo gentleman 🐒
Huyu mlemavu wanaweza kumuuaChawa wake wanasema apewe heshima yake.
Bila kusema kavunjiwa wapi au imekuwa je:
Pre GE2025 - "Anayejiita CHADEMA asiyeamini kwenye "no reforms no elections" huyo si mwenzetu!" Miluzi mingi ya nini?
View attachment 3336713
imhotep, Kilewela, Drlfter, joka mkuu, Proven, Nyanye Go, Erythrocytes, Karamu, binti kiziwi, Retiree na wale wengine, au nasema uongo?
Uko sahihi mno. Tatizo kubwa la hawa wajinga 55 ni kuwa hawajui huko CCM kuna mtifuano wa wenyewe kwa wenyewe. Majimbo yamekuwa moto wenyewe wanatiashiana sembuse mtu baki aliyekuwa CHADEMA aje apewe jimbo kilaini!Mbowe alikuwa anataka kujiunga na chauma Ila watu wenye Akili nyingi wakamshauri utulie ili kulinda heshima yake...hawa mafala wengine wamehadia viti 20 vya ubunge wakati hukohuko CCM wengi wamekataa Hilo dili ya kuwaachia ubunge hawa wasaliti.
Vita ya safari hii ni Kali Sana ndani ya CCM sembuse hawa WAJINGA
Huyu mlemavu wanaweza kumuua
acha tupate tangazo la faraja kidogo gentleman 🐒
hati hunasemaaje?🐒
Ni mpumbavu pekee anayeweza kushiriki chaguzi kwenye mazingira kama haya.Mawazo akuwai kufikiri kua tusishiriki uchaguzi..Aliamini lazma tupambane na kula nao sahani moja sasa wamekuja wajinga ..wanawauza alafu nanyi mnashindwa kujitambua eti mnakubali kutoshoriki ..yaani mmekua kama Yanga .