Lakini pia inawezekana kua CHADEMA tuliwai kushiriki uchaguzi huo huo na kupata majimbo kabisa. Sasa je ,wakati huo CHADEMA tulikua wapumbavu?Ni mpumbavu pekee anayeweza kushiriki chaguzi kwenye mazingira kama haya.
Kuna tofauti kidogo wakati wa Kikwete na mazingira ya leo.Lakini pia inawezekana kua CHADEMA tuliwai kushiriki uchaguzi huo huo na kupata majimbo kabisa. Sasa je ,wakati huo CHADEMA tulikua wapumbavu?
Hana akili. Sasa ndio mwisho wake kwenye medani za siasa. Yaani CCM wenyewe wananyukana kimyakimya kuhusu madaraka hata ya wenyeviti wa vijiji tu alafu eti mjinga kama huyu wampe nafasi? Subutu yake. Kwisha habari yake. Kama katapeliwa basi ajue haituhusu sawa na siku aliyotolewa bikra yake alilipwa ngapi? Hatukuhusika vilevile. Nina hasira sana, ngoja nitulie MKUU. Ila Uzi mzuri sana huu.View attachment 3336343
NI kwamba ametapeliwa na wajanja.
Wamekula pesa za madalali sasa wanalazimika kuzilipa kwa maumivu makubwa kwa lazima upende usipende.
Ahadi alizoahidiwa hazijatimizwa au ni ngumu kutimizwa.
Dhamira inamsuta kuwa anayotenda si kweli yanatoka moyoni.
Fuko kakabidhiwa mtu mmoja (Jon) wengine hawajui kilichomo yeye ndiye anapanga nani apewe leo na nani atangaze kujitoa.
Inauma. Ni sawa na kumuacha mme au mke kwa shinikizo au mkumbo ungali bado unampenda.
Poleni sana watia nia, baba mlevi keshakula mahari lazima uolewe ukaishi kwa bwana mpya usiyempenda.
Tena wakati huu na mazingira ya leo yameboreshwa sana.. Sijui kwanini tumefanya hivyo kwakweli..Yaani tumekua kama wale wanaosema HATUCHEZI. Sidhani kama kutoshiriki kwetu ni faidaKuna tofauti kidogo wakati wa Kikwete na mazingira ya leo.
Acha ujinga , ujinga ni kuamini kwamba kadri sheria zinavyozidi kuwa kandamizi wewe unapaswa kuamini kwamba ukiingia utafanikiwa hivyohivyo.Mawazo akuwai kufikiri kua tusishiriki uchaguzi..Aliamini lazma tupambane na kula nao sahani moja sasa wamekuja wajinga ..wanawauza alafu nanyi mnashindwa kujitambua eti mnakubali kutoshoriki ..yaani mmekua kama Yanga .
Tukitumia akili zetu tunaweza kuandika na kuongea vitu vya maana saanaAcha ujinga , ujinga ni kuamini kwamba kadri sheria zinavyozidi kuwa kandamizi wewe unapaswa kuamini kwamba ukiingia utafanikiwa hivyohivyo.
Ni mjinga pekee atakubali ujinga huu.
Tukitumia akili zetu tunaweza kuandika na kuongea vitu vya maana saana
Ila bila kufanya hivyo,tutabaki na mihemko tuu
Hakuna popote Mbowe kamwaga damu yake kwa ajili ya CDM. Alikijenga chama kwa jasho na damu za wengine huku akiogelea hidden ruzukuWanazidi kujivua nguo,Mbowe mtu wa hovyo sana sikutegemea angeishia kufanya ujuha huu wa kutumiwa na CCM kukibomoa chama alichoshiriki kukijenga kwa jasho na damu.
Hakuna popote Mbowe kamwaga damu yake kwa ajili ya CDM. Alikijenga chama kwa jasho na damu za wengine huku akiogelea hidden ruzuku
Imagine sheria inasema eti mtu wa tume hata akosee hashtakiwi huu ni uchaguzi au ulanguzi?Ni mpumbavu pekee anayeweza kushiriki chaguzi kwenye mazingira kama haya.
š š š š š ...... Promax kabisa?! Siyo kweli. Hebu ingia chimbo uje nazoHata wewe? Naingia chimbo kusaka post zako ukiwa chawa promax.
Stay tuned!
Kwa mazingira ya kuanzia 2019, 2020 na 2024 haiwezekani kutangazwa mpinzani kama aneshinda. Usijitoe ufahamu mazingira ya 2010 na 2015 yalikuwa tofauti na ya sasa.Lakini pia inawezekana kua CHADEMA tuliwai kushiriki uchaguzi huo huo na kupata majimbo kabisa. Sasa je ,wakati huo CHADEMA tulikua wapumbavu?
š š š š š ...... Promax kabisa?! Siyo kweli. Hebu ingia chimbo uje nazo
Hakuna mahali nimesema kwa damu yake.Hakuna popote Mbowe kamwaga damu yake kwa ajili ya CDM. Alikijenga chama kwa jasho na damu za wengine huku akiogelea hidden ruzuku
Angalua sasa umeelewa"Insanity is doing the same thing over and over again and expecting different results." -- Albert Einstein.
Hivi kweli unajisikiliza kabla ya kuongea? Tupo 2025,je mazingira ni yale yale?Kwa mazingira ya kuanzia 2019, 2020 na 2024 haiwezekani kutangazwa mpinzani kama aneshinda. Usijitoe ufahamu mazingira ya 2010 na 2015 yalikuwa tofauti na ya sasa.
Angalua sasa umeelewa
Usijitoe akili kilichotokea uchaguzi serikali za mitaa November 2024 tena ikiwa ni baada ya maridhiano na 4R za Samia hukukiona?Hivi kweli unajisikiliza kabla ya kuongea? Tupo 2025,je mazingira ni yale yale?