Hii ina maana gani, kwanini ulie wakati umetangaza mwenyewe kujivua uanachama

View attachment 3336343

NI kwamba ametapeliwa na wajanja.

Wamekula pesa za madalali sasa wanalazimika kuzilipa kwa maumivu makubwa kwa lazima upende usipende.

Ahadi alizoahidiwa hazijatimizwa au ni ngumu kutimizwa.

Dhamira inamsuta kuwa anayotenda si kweli yanatoka moyoni.

Fuko kakabidhiwa mtu mmoja (Jon) wengine hawajui kilichomo yeye ndiye anapanga nani apewe leo na nani atangaze kujitoa.

Inauma. Ni sawa na kumuacha mme au mke kwa shinikizo au mkumbo ungali bado unampenda.

Poleni sana watia nia, baba mlevi keshakula mahari lazima uolewe ukaishi kwa bwana mpya usiyempenda.
kuachwa ni kitu mbaya sana aise,
kila mtu unamuona ni mbaya tu kwako, huku hasira zimekujaa unaropoka ropoka tu kama mwendawazimu 🤣
 
Wawaulize Zanzibar, kila baada ya miaka mitano wanatapeliwa. Hakuna mwanaccm anayeweza kuachia Jimbo wakati ana access ya mfumo wa uchaguzi. Hata hivyo tungoje kampeni zianze tuone Kama watapata watu Mia kila mkutano.
 
Anayelia kaachwa au kaacha.
anae acha analia kujutia muda aliopotezewa na lofa, na kibaka aliae achwa kwa hasira kali anaporomosha maneno mbofu mbofu ya mkosaji kwa mihemko na kiwango cha juu mno 🐒
 
View attachment 3336343

NI kwamba ametapeliwa na wajanja.

Wamekula pesa za madalali sasa wanalazimika kuzilipa kwa maumivu makubwa kwa lazima upende usipende.

Ahadi alizoahidiwa hazijatimizwa au ni ngumu kutimizwa.

Dhamira inamsuta kuwa anayotenda si kweli yanatoka moyoni.

Fuko kakabidhiwa mtu mmoja (Jon) wengine hawajui kilichomo yeye ndiye anapanga nani apewe leo na nani atangaze kujitoa.

Inauma. Ni sawa na kumuacha mme au mke kwa shinikizo au mkumbo ungali bado unampenda.

Poleni sana watia nia, baba mlevi keshakula mahari lazima uolewe ukaishi kwa bwana mpya usiyempenda.
Hawa wanaondoka kwa kufuata mkumbo tu, huyu anayewashawishi atawaingiza mkenge Sana,Ukiwa mwanachama kindakindaki huwezi kuondoka kwenye chama kisa chama hakishoriki uchaguzi....
 
Wawaulize Zanzibar, kila baada ya miaka mitano wanatapeliwa. Hakuna mwanaccm anayeweza kuachia Jimbo wakati ana access ya mfumo wa uchaguzi. Hata hivyo tungoje kampeni zianze tuone Kama watapata watu Mia kila mkutano.
Safari hii hakuna kulialia wakati wa uchaguzi, umma utakuwa upande wa ccm full stop.Watakaongombea kupitia upinzani tusisikie kulialia tena
 
Hii ni biashara ya usaliti, anaouza usaliti analenga wateja waje wasaliti na hao wateja wasaliti wanategemea kuungwa mkono na wapenda usaliti ili waweze kutumia usaliti huo kwa manufaa yao binafsi.
Sasa zao la usaliti huzaa usaliti na usaliti huleta kifo au aibu kubwa.
Kila nwenye akili analijua hili japo kinachotushinda ni njaa na tamaa za madaraka katika maisha.
 
Mbewe anawafanya wenzie mandondocha ,na zaidi yeye mwenyewe kuonekana ni JALALA LISILO NA DHAMANI
 
kwamba ametapeliwa na wajanja.

Wamekula pesa za madalali sasa wanalazimika kuzilipa kwa maumivu makubwa kwa lazima upende usipende.

Ahadi alizoahidiwa hazijatimizwa au ni ngumu kutimizwa.🤣🤣🤣
 
View attachment 3336343

NI kwamba ametapeliwa na wajanja.

Wamekula pesa za madalali sasa wanalazimika kuzilipa kwa maumivu makubwa kwa lazima upende usipende.

Ahadi alizoahidiwa hazijatimizwa au ni ngumu kutimizwa.

Dhamira inamsuta kuwa anayotenda si kweli yanatoka moyoni.

Fuko kakabidhiwa mtu mmoja (Jon) wengine hawajui kilichomo yeye ndiye anapanga nani apewe leo na nani atangaze kujitoa.

Inauma. Ni sawa na kumuacha mme au mke kwa shinikizo au mkumbo ungali bado unampenda.

Poleni sana watia nia, baba mlevi keshakula mahari lazima uolewe ukaishi kwa bwana mpya usiyempenda.
Jon ni kibaraka...muhusika wa donge nono yupo kimya
 
Wanazidi kujivua nguo,Mbowe mtu wa hovyo sana sikutegemea angeishia kufanya ujuha huu wa kutumiwa na CCM kukibomoa chama alichoshiriki kukijenga kwa jasho na damu.
Hakuwa anakijenga, ilikuwa ni fremu yake ya pato. Sasa wenye kiwanja wamechukua fremu hana cha kuvuna
 
Usije ukaoa mwanamke aliyeachika Kwa mwenzako ukajua labda na mwenzio alikuwa hajui kutunza,akija kwako na wewe atakuacha, tabia ni kilema.
Ni mjinga pekee anaweza kuwapisha wasaliti wagombee wakati Wenye Chama Chao wapo
Chunguza kwanza ujue ni tabia gani, si mufa wote mwanamke ndio anashida, hata mwenzako anaweza kuwa mwiba pia vile hujui
 
View attachment 3336343

NI kwamba ametapeliwa na wajanja.

Wamekula pesa za madalali sasa wanalazimika kuzilipa kwa maumivu makubwa kwa lazima upende usipende.

Ahadi alizoahidiwa hazijatimizwa au ni ngumu kutimizwa.

Dhamira inamsuta kuwa anayotenda si kweli yanatoka moyoni.

Fuko kakabidhiwa mtu mmoja (Jon) wengine hawajui kilichomo yeye ndiye anapanga nani apewe leo na nani atangaze kujitoa.

Inauma. Ni sawa na kumuacha mme au mke kwa shinikizo au mkumbo ungali bado unampenda.

Poleni sana watia nia, baba mlevi keshakula mahari lazima uolewe ukaishi kwa bwana mpya usiyempenda.
Utake usitake utaolewa hata kama mume humpendi🤣🤣🤣
 
Wanazidi kujivua nguo,Mbowe mtu wa hovyo sana sikutegemea angeishia kufanya ujuha huu wa kutumiwa na CCM kukibomoa chama alichoshiriki kukijenga kwa jasho na damu.
Mbowe asihusishwe na upumbavu huo!
 
View attachment 3336343

NI kwamba ametapeliwa na wajanja.

Wamekula pesa za madalali sasa wanalazimika kuzilipa kwa maumivu makubwa kwa lazima upende usipende.

Ahadi alizoahidiwa hazijatimizwa au ni ngumu kutimizwa.

Dhamira inamsuta kuwa anayotenda si kweli yanatoka moyoni.

Fuko kakabidhiwa mtu mmoja (Jon) wengine hawajui kilichomo yeye ndiye anapanga nani apewe leo na nani atangaze kujitoa.

Inauma. Ni sawa na kumuacha mme au mke kwa shinikizo au mkumbo ungali bado unampenda.

Poleni sana watia nia, baba mlevi keshakula mahari lazima uolewe ukaishi kwa bwana mpya usiyempenda.
Analia kwasababu amekifanyia kazi chama miaka mingi tena bila malipo akijua siku moja lazma anaweza kuchukua jimbo kupitia CHADEMA ila sasa awezi tena maana chama akishiriki uchaguzi kwa maamuzi ya wanaharakati.
 
Mbaya sana . Unawapotezea watu muda kiasi hiki kisha unanunuliwa ukiwaacha watu na vilema vya maisha?
I've alphonso mawazo huko alipo anajisikiqje?
Vipi kuhusu chacha wangwe??
Mawazo akuwai kufikiri kua tusishiriki uchaguzi..Aliamini lazma tupambane na kula nao sahani moja sasa wamekuja wajinga ..wanawauza alafu nanyi mnashindwa kujitambua eti mnakubali kutoshoriki ..yaani mmekua kama Yanga .
 
Back
Top Bottom