Hata kama ni njaa , lakini hii nayo umezidi.View attachment 3336343
NI kwamba ametapeliwa na wajanja.
Wamekula pesa za madalali sasa wanalazimika kuzilipa kwa maumivu makubwa kwa lazima upende usipende.
Ahadi alizoahidiwa hazijatimizwa au ni ngumu kutimizwa.
Dhamira inamsuta kuwa anayotenda si kweli yanatoka moyoni.
Fuko kakabidhiwa mtu mmoja (Jon) wengine hawajui kilichomo yeye ndiye anapanga nani apewe leo na nani atangaze kujitoa.
Inauma. Ni sawa na kumuacha mme au mke kwa shinikizo au mkumbo ungali bado unampenda.
Poleni sana watia nia.
Mkuu hizo tuhûma ni za kweli?Wanazidi kujivua nguo,Mbowe mtu wa hovyo sana sikutegemea angeishia kufanya ujuha huu wa kutumiwa na CCM kukibomoa chama alichoshiriki kukijenga kwa jasho na damu.
Umenikumbusha mbali sana mkuu, Juma Kassim Nature a k.a. Kibra. Zile Pini na beats za wimbo wake ni noma.Hata kama ni njaa , lakini hii nayo umezidi.
J Nature😀
Noma sana....jamaa anasema we ni Mwanamke gani unahongwa laki moja kila siku.Umenikumbusha mbali sana mkuu, Juma Kassim Nature a k.a. Kibra. Zile Pini na beats za wimbo wake ni noma.
Stories ni zile zile za LIPUMBA hakuna kipyaWanazidi kujivua nguo,Mbowe mtu wa hovyo sana sikutegemea angeishia kufanya ujuha huu wa kutumiwa na CCM kukibomoa chama alichoshiriki kukijenga kwa jasho na damu.
Yaani kama kusoma hujui basi hata picha huoni? Kinachoendelea sasa Chadema haihitaji elimu kubwa kujua nani yuko nyuma ya hii hama hama.Mkuu hizo tuhûma ni za kweli?
Inasikitisha sanaStories ni zile zile za LIPUMBA hakuna kipya
Mbaya sana . Unawapotezea watu muda kiasi hiki kisha unanunuliwa ukiwaacha watu na vilema vya maisha?Inasikitisha sana
Watu walikuwa wanaumizwa kwa ajili yao kumbe kuna watu wamefika bei, lazima iume.Mbaya sana . Unawapotezea watu muda kiasi hiki kisha unanunuliwa ukiwaacha watu na vilema vya maisha?
I've alphonso mawazo huko alipo anajisikiqje?
Vipi kuhusu chacha wangwe??
Dada wamemtukana sana kwenye kundi la whasappView attachment 3336343
NI kwamba ametapeliwa na wajanja.
Wamekula pesa za madalali sasa wanalazimika kuzilipa kwa maumivu makubwa kwa lazima upende usipende.
Ahadi alizoahidiwa hazijatimizwa au ni ngumu kutimizwa.
Dhamira inamsuta kuwa anayotenda si kweli yanatoka moyoni.
Fuko kakabidhiwa mtu mmoja (Jon) wengine hawajui kilichomo yeye ndiye anapanga nani apewe leo na nani atangaze kujitoa.
Inauma. Ni sawa na kumuacha mme au mke kwa shinikizo au mkumbo ungali bado unampenda.
Poleni sana watia nia, baba mlevi keshakula mahari lazima uolewe ukaishi kwa bwana mpya usiyempenda.
View attachment 3336343

Huyu ni naniDada wamemtukana sana kwenye kundi la whasapp
Hajatukanwa bali dhamira yake juu ya usaliti ndiyo inamliza. Akifikiria watu waliouwawa,waliopotezwana waliotiwa vilema vya kudumu na CCM halafu leo hii wanaangukia kutumiwa na CCM hiyo hiyo,inauma sana.Dada wamemtukana sana kwenye kundi la whasapp
Usije ukaoa mwanamke aliyeachika Kwa mwenzako ukajua labda na mwenzio alikuwa hajui kutunza,akija kwako na wewe atakuacha, tabia ni kilema.
Ni mjinga pekee anaweza kuwapisha wasaliti wagombee wakati Wenye Chama Chao wapo