kuachwa ni kitu mbaya sana aise,View attachment 3336343
NI kwamba ametapeliwa na wajanja.
Wamekula pesa za madalali sasa wanalazimika kuzilipa kwa maumivu makubwa kwa lazima upende usipende.
Ahadi alizoahidiwa hazijatimizwa au ni ngumu kutimizwa.
Dhamira inamsuta kuwa anayotenda si kweli yanatoka moyoni.
Fuko kakabidhiwa mtu mmoja (Jon) wengine hawajui kilichomo yeye ndiye anapanga nani apewe leo na nani atangaze kujitoa.
Inauma. Ni sawa na kumuacha mme au mke kwa shinikizo au mkumbo ungali bado unampenda.
Poleni sana watia nia, baba mlevi keshakula mahari lazima uolewe ukaishi kwa bwana mpya usiyempenda.
Wengine hapo wakina mrema,kugaila nk pesa za bia zitawapitia kushotoHata kama ni njaa , lakini hii nayo umezidi.
J Nature😀
Anayelia kaachwa au kaacha.kuachwa ni kitu mbaya sana aise,
kila mtu unamuona ni mbaya tu kwako, huku hasira zimekujaa unaropoka ropoka tu kama mwendawazimu 🤣
anae acha analia kujutia muda aliopotezewa na lofa, na kibaka aliae achwa kwa hasira kali anaporomosha maneno mbofu mbofu ya mkosaji kwa mihemko na kiwango cha juu mno 🐒Anayelia kaachwa au kaacha.
Vyovyote vile mtu mzima kulia mbele za watu kwa kitendo ulichotenda ukiwa na akili timamu ni ujinga.anae acha analia kujutia muda aliopotezewa na lofa, na kibaka aliae achwa kwa hasira kali anaporomosha maneno mbofu mbofu ya mkosaji kwa mihemko na kiwango cha juu mno 🐒
Hawa wanaondoka kwa kufuata mkumbo tu, huyu anayewashawishi atawaingiza mkenge Sana,Ukiwa mwanachama kindakindaki huwezi kuondoka kwenye chama kisa chama hakishoriki uchaguzi....View attachment 3336343
NI kwamba ametapeliwa na wajanja.
Wamekula pesa za madalali sasa wanalazimika kuzilipa kwa maumivu makubwa kwa lazima upende usipende.
Ahadi alizoahidiwa hazijatimizwa au ni ngumu kutimizwa.
Dhamira inamsuta kuwa anayotenda si kweli yanatoka moyoni.
Fuko kakabidhiwa mtu mmoja (Jon) wengine hawajui kilichomo yeye ndiye anapanga nani apewe leo na nani atangaze kujitoa.
Inauma. Ni sawa na kumuacha mme au mke kwa shinikizo au mkumbo ungali bado unampenda.
Poleni sana watia nia, baba mlevi keshakula mahari lazima uolewe ukaishi kwa bwana mpya usiyempenda.
Safari hii hakuna kulialia wakati wa uchaguzi, umma utakuwa upande wa ccm full stop.Watakaongombea kupitia upinzani tusisikie kulialia tenaWawaulize Zanzibar, kila baada ya miaka mitano wanatapeliwa. Hakuna mwanaccm anayeweza kuachia Jimbo wakati ana access ya mfumo wa uchaguzi. Hata hivyo tungoje kampeni zianze tuone Kama watapata watu Mia kila mkutano.
Jon ni kibaraka...muhusika wa donge nono yupo kimyaView attachment 3336343
NI kwamba ametapeliwa na wajanja.
Wamekula pesa za madalali sasa wanalazimika kuzilipa kwa maumivu makubwa kwa lazima upende usipende.
Ahadi alizoahidiwa hazijatimizwa au ni ngumu kutimizwa.
Dhamira inamsuta kuwa anayotenda si kweli yanatoka moyoni.
Fuko kakabidhiwa mtu mmoja (Jon) wengine hawajui kilichomo yeye ndiye anapanga nani apewe leo na nani atangaze kujitoa.
Inauma. Ni sawa na kumuacha mme au mke kwa shinikizo au mkumbo ungali bado unampenda.
Poleni sana watia nia, baba mlevi keshakula mahari lazima uolewe ukaishi kwa bwana mpya usiyempenda.
Hakuwa anakijenga, ilikuwa ni fremu yake ya pato. Sasa wenye kiwanja wamechukua fremu hana cha kuvunaWanazidi kujivua nguo,Mbowe mtu wa hovyo sana sikutegemea angeishia kufanya ujuha huu wa kutumiwa na CCM kukibomoa chama alichoshiriki kukijenga kwa jasho na damu.
Hahaha maigizoVyovyote vile mtu mzima kulia mbele za watu kwa kitendo ulichotenda ukiwa na akili timamu ni ujinga.
Chunguza kwanza ujue ni tabia gani, si mufa wote mwanamke ndio anashida, hata mwenzako anaweza kuwa mwiba pia vile hujuiUsije ukaoa mwanamke aliyeachika Kwa mwenzako ukajua labda na mwenzio alikuwa hajui kutunza,akija kwako na wewe atakuacha, tabia ni kilema.
Ni mjinga pekee anaweza kuwapisha wasaliti wagombee wakati Wenye Chama Chao wapo
Utake usitake utaolewa hata kama mume humpendi🤣🤣🤣View attachment 3336343
NI kwamba ametapeliwa na wajanja.
Wamekula pesa za madalali sasa wanalazimika kuzilipa kwa maumivu makubwa kwa lazima upende usipende.
Ahadi alizoahidiwa hazijatimizwa au ni ngumu kutimizwa.
Dhamira inamsuta kuwa anayotenda si kweli yanatoka moyoni.
Fuko kakabidhiwa mtu mmoja (Jon) wengine hawajui kilichomo yeye ndiye anapanga nani apewe leo na nani atangaze kujitoa.
Inauma. Ni sawa na kumuacha mme au mke kwa shinikizo au mkumbo ungali bado unampenda.
Poleni sana watia nia, baba mlevi keshakula mahari lazima uolewe ukaishi kwa bwana mpya usiyempenda.
Mbowe asihusishwe na upumbavu huo!Wanazidi kujivua nguo,Mbowe mtu wa hovyo sana sikutegemea angeishia kufanya ujuha huu wa kutumiwa na CCM kukibomoa chama alichoshiriki kukijenga kwa jasho na damu.
😀😀😀ndio vilio vinapoanzaUtake usitake utaolewa hata kama mume humpendi🤣🤣🤣
Analia kwasababu amekifanyia kazi chama miaka mingi tena bila malipo akijua siku moja lazma anaweza kuchukua jimbo kupitia CHADEMA ila sasa awezi tena maana chama akishiriki uchaguzi kwa maamuzi ya wanaharakati.View attachment 3336343
NI kwamba ametapeliwa na wajanja.
Wamekula pesa za madalali sasa wanalazimika kuzilipa kwa maumivu makubwa kwa lazima upende usipende.
Ahadi alizoahidiwa hazijatimizwa au ni ngumu kutimizwa.
Dhamira inamsuta kuwa anayotenda si kweli yanatoka moyoni.
Fuko kakabidhiwa mtu mmoja (Jon) wengine hawajui kilichomo yeye ndiye anapanga nani apewe leo na nani atangaze kujitoa.
Inauma. Ni sawa na kumuacha mme au mke kwa shinikizo au mkumbo ungali bado unampenda.
Poleni sana watia nia, baba mlevi keshakula mahari lazima uolewe ukaishi kwa bwana mpya usiyempenda.
Mawazo akuwai kufikiri kua tusishiriki uchaguzi..Aliamini lazma tupambane na kula nao sahani moja sasa wamekuja wajinga ..wanawauza alafu nanyi mnashindwa kujitambua eti mnakubali kutoshoriki ..yaani mmekua kama Yanga .Mbaya sana . Unawapotezea watu muda kiasi hiki kisha unanunuliwa ukiwaacha watu na vilema vya maisha?
I've alphonso mawazo huko alipo anajisikiqje?
Vipi kuhusu chacha wangwe??