Hii ina maana gani ni positive au negative?

Nacheka kama kichaaa nyie watu sio poa
 
Mkuu kwani lazima mtu aanze dozi mda huo huo? Kama afya iko bien uanze dozi ili iweje? Nakuwa siwaelewi watu wa afya katika hili.
Kuanza dozi mapema n nzuri ikiwa virusi bado viko kwenye stage ndogo ukianza viko kwenye stage kubwa kama 3 or 4 uwezekan wa kupata magonjwa yemelez n mkubwa na utatumia gharama kubwa kukontroll omnivious infection
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…