Hii ina maana gani ni positive au negative?

Kwakweli umakini unahitajika sana 🤦‍♀️🤦‍♀️
Sana Mkuu.

Muhimu kutokuwa na Wapenzi wengi.

Pia kama Mumeo/Mpenzi unaishi naye mbali kila mkikutana vyema kucheki afya zenu kabla hamjakutana kimwili.

Siku hizi Wanawake wana wapenzi wengi ili kupunguza Ukali wa Maisha na Vikoba vyao wanavyocheza.

Hivyo ni rahisi kuuza mechi, utasikia nakupa bao moja ila Usikojolee ndani naogopa Mimba 🙆‍♂️
 
Kuna mzee yeye kila akipima ni mzima wa afya na yupo hapa hapa JF. Ila ni muathirika na anatumia mbaazi, juzi juzi nimepata mashtaka yake kamuingiza mtu gridi ya taifa. Hivyo vipimo usiviamini kabisa.
 
Simtishi mkuu, ila wewe ndio unataka ku-sugarcoat hili suala😂😂
cha msingi aanze kula vizuri, matunda kwa wingi, mazoezi, kuepuka mazingira ya stress na kupumzika muda wa kutosha
Hahaha😂😂😂😂..sawa
 
Kwakweli,, na mapenzi naacha kabisa kuanzia leo😂😂
Hata sisi in the 90s tulijiambia hivyo, ila ukigeuza shingo nyege zikikaba tu unasahau ulichodhamiria.

Nakumbuka tylikuwa tunaletewa videos za waathirika na wenye gonorrhoea, syphilis nk shuleni,
mkimaliza kutizama kila mtu anasema basi namwaga dem wangu...aaaah wapi, wiki tu watu wanachapana kama kawaida🤣🤣🤣
 
So sad😥
 
Hahah😂😂😂😂🤦‍♀️
 
Mkuu umeandika point tupu inaonyesha unautaalamu mkuu
 
Kuna mzee yeye kila akipima ni mzima wa afya na yupo hapa hapa JF. Ila ni muathirika na anatumia mbaazi, juzi juzi nimepata mashtaka yake kamuingiza mtu gridi ya taifa. Hivyo vipimo usiviamini kabisa.
Muhimu kumakimika Kama ulivyosema.

Na mabinti wapunguze Njaa, Wazee wengi huwa ni watumiaji wa mbaazi muda mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…