dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
kamata pepsi baridi hapo atalipa mshamba_hachekwiwaendelee tu kunyetuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kamata pepsi baridi hapo atalipa mshamba_hachekwiwaendelee tu kunyetuka
huku unahitajika moyo wa chuma usio ne feelingswazee wa Chaputa
Kwakweli,, na mapenzi naacha kabisa kuanzia leo😂😂Kuanzia leo huliwi kavu tena?🤣🤣
Sawasawa 👊...kwa hili la leo nawaunga mkono 😂😂kamata pepsi baridi hapo atalipa mshamba_hachekwi
Msimtishe kijana😂😂😂
Sana Mkuu.Kwakweli umakini unahitajika sana 🤦♀️🤦♀️
Kuna mzee yeye kila akipima ni mzima wa afya na yupo hapa hapa JF. Ila ni muathirika na anatumia mbaazi, juzi juzi nimepata mashtaka yake kamuingiza mtu gridi ya taifa. Hivyo vipimo usiviamini kabisa.Lakini ndiyo vimekuwa vikitumika miaka na miaka sasa.
Na siku ukiambiwa unao kama haujapewa Ushauri na Nasaha vya kutosha unaweza kujikutana unatamani hata Ujiue wakati huo huo unaanza kuwahesabia Wapenzi Ulionao.
Sijui Cecy, Sijui Anne, Sijui Betty, Siju Amina, sijui Rahma
Yaani utakuwa full stressed 😫 🙌
thubutu, Estrogen zikipanda unatafuta magic stick iko wapiSawasawa 👊...kwa hili la leo nawaunga mkono 😂😂
Hahaha😂😂😂😂..sawaSimtishi mkuu, ila wewe ndio unataka ku-sugarcoat hili suala😂😂
cha msingi aanze kula vizuri, matunda kwa wingi, mazoezi, kuepuka mazingira ya stress na kupumzika muda wa kutosha
Hata sisi in the 90s tulijiambia hivyo, ila ukigeuza shingo nyege zikikaba tu unasahau ulichodhamiria.Kwakweli,, na mapenzi naacha kabisa kuanzia leo😂😂
So sad😥Sana Mkuu.
Muhimu kutokuwa na Wapenzi wengi.
Pia kama Mumeo/Mpenzi unaishi naye mbali kila mkikutana vyema kucheki afya zenu kabla hamjakutana kimwili.
Siku hizi Wanawake wana wapenzi wengi ili kupunguza Ukali wa Maisha na Vikoba vyao wanavyocheza.
Hivyo ni rahisi kuuza mechi, utasikia nakupa bao moja ila Usikojolee ndani naogopa Mimba 🙆♂️
Hahah😂😂😂😂🤦♀️Hata sisi in the 90s tulijiambia hivyo, ila ukigeuza shingo nyege zikikaba tu unasahau ulichodhamiria.
Nakumbuka tylikuwa tunaletewa videos za waathirika na wenye gonorrhoea, syphilis nk shuleni,
mkimaliza kutizama kila mtu anasema basi namwaga dem wangu...aaaah wapi, wiki tu watu wanachapana kama kawaida🤣🤣🤣
Anapatikana wapi 😂Mtafute PEP guardiola popote alipo.
🤣
Mkuu umeandika point tupu inaonyesha unautaalamu mkuuKipimo ni chako? Mbona umeambatanisha kimoja bila kuweka na chako kama mlipima wote wawili?
Maana yake unajua kabisa majibu yakitoka hivi ni positive na ikitoka vile ni negative. Ama la, umekibeba mtandaoni na kuja kusumbua watu humu.
Anyway, turudi kwenye uzi.
Kwanza, hongera kwa kujenga tabia ya kupima na kujua hali yako na mwenza wako.
Pili, kipimo hicho kinaitwa Bioline HIV 1/2 3.0 Maalum kwa ajili ya kupima uwepo wa virusi katika damu ya binadamu.
Tatu, endapo kilitumika kikamilifu na kusomwa ndani ya dakika 10-15 kina uwezo wa kutoa majibu sahihi kwa kiasi kikubwa. Haswa kwa uwepo wa virusi (positive), kinatoa majibu kwa usahihi kwa zaidi ya asilimia 90.
Hata hivyo, huenda kikatoa majibu ya kuongopa endapo hakitatumika kikamilifu au kusomwa nje ya muda sahihi. Wanaojipima pia si wataalam sana katika kuitumia, hivyo hutokea mara kadhaa kuleta majibu yenye utata.
Mfano;
Kuna mteja alichukua vipimo anakojua yeye. Akaenda huko na jamaa yake. Wakapima na majibu yalikuja negative. Wakafanya yao, na mwanaume akatangulia kuondoka.
Sasa mwanamke kamaliza kuoga na kujiandaa kuondoka, wakati anajiandaa kuondoka kiherehere kimamtuma tena kukitazama kipimo cha mwenzi wake.
La haula, inaonyesha mistari miwili. Huyo, alikuja kwa ghafla kama aliyechanganyikiwa. Analia kwa sauti ya kujutia, Daktari naomba niokoe, nimeukwaa.
Kumsikiliza anachotaka yeye ni PEP, si kingine. Kachanganyikiwa. Mwenzako yupo wapi? Hata simu hana, kaacha alipopata raha za dunia.
Baadae nilikuja kufahamu, alisoma nje ya muda unaopaswa. 1
Nne, mhusika atapaswa kufika katika kituo cha kutolea huduma za afya kwa ajili ya uchunguzi zaidi. Apimwe kwa kipimo tofauti.
Tano, kama kaupata wala asijali. Virusi hivi havitishi na kuogofya sana. Bado ana nafasi ya kutimiza ndoto zake endapo atafuata matumizi sahihi ya dawa na kujikubali.
Muhimu kumakimika Kama ulivyosema.Kuna mzee yeye kila akipima ni mzima wa afya na yupo hapa hapa JF. Ila ni muathirika na anatumia mbaazi, juzi juzi nimepata mashtaka yake kamuingiza mtu gridi ya taifa. Hivyo vipimo usiviamini kabisa.
Am freeeSimtishi mkuu, ila wewe ndio unataka ku-sugarcoat hili suala😂😂
cha msingi aanze kula vizuri, matunda kwa wingi, mazoezi, kuepuka mazingira ya stress na kupumzika muda wa kutosha
Acha kutoa siri basKuna mzee yeye kila akipima ni mzima wa afya na yupo hapa hapa JF. Ila ni muathirika na anatumia mbaazi, juzi juzi nimepata mashtaka yake kamuingiza mtu gridi ya taifa. Hivyo vipimo usiviamini kabisa.
Kwa hy wew unaunga mkono hilo swalaa?Hahaha😂😂😂,, shauri yako😂😂
ili kuepukana na majanga kama haya mkuu😃😃😃Kwa hy wew unaunga mkono hilo swalaa?