Uchaguzi 2020 Hii inakatisha tamaa kwa Dkt. Magufuli

Kwa muujiza ule wa kupona risasi 32 ningekuwa mimi ndo muusika ningetubu kwa Mungu na kuamua kumtumikia Mungu maisha yangu yote yaliyobaki duniani ili angalau nifidie dhambi nilizomkosea Mungu
mkuu, hata kuwapigania wananchi dhidi ya utawala dhaifu kiutu ni njia moja wapo ya kumtumikia Mungu
 
Ukiona mtu anakataliwa ujue hafanyi mazuri kwa watu.
Wanaomkataa Magufuli in wapiga deal na vijana Wavivu na wanategemea Serikali iwafanyie kila kitu ila Wenye uwelewa Mpna Wa Mambo Magufuli ndio Rais Wa nchii hii na Ataendelea Baada ya October Wapiga Deal Watapata Tabuuu sana
 
Jiwe kawapiga machinga jumla ya bilion 100 Hadi Sasa bila kuwapa risiti kwa kijimradi alichojibunia
 
Kajitoa kwa lipi lililohatarisha maisha yake? Kujaribu kuuwa wengine si kujitoa!
 
Jiandae kisaikolojia Magufuli ndiyo Rais mpaka 2025
 
Maombi yako mazuri sana,
La msingi tukazane kumuombea ili arekebishe kasoro ndogo alizonazo.

Ni product ya maombi nakubal 100% ila saa nyingine mambo yake sio.!
 
Uchaguzi ni wenu......"mitano ya kwanza" au "mitano tena"

Na mie nna jambo langu Oktoba 28!
 
Huyu Mzee alichofanikiwa zaidi ni kuwekeza kwenye Makundi ya watu wasioji kijana hili kuwazibi wapinzani madili yake yasijulikane
 
Wananchi wamegoma kushikiwa akili...
Hayo mabarabara sijuhi maSGR, maumeme, mabwawa, hayawasaidii kitu kama ajira hakuna na mafao yao yamekokotolewa kwa formula ya wizi...
Hayo wanasema ni jukumu la kila siku kwa serikali... Kila awamu itafanya kadri itakavyoweza...
Muhimu ni maendeleo ya watu...
 
Wasukuma tumeshasema hatumtaki Magufuli asituchonganishe sisi na Makabila mengine sisi sote ni Watanzania
Kuna ukweli na usemalo na linatoka moyoni au ni kwa kuwa umekosa uteuzi na upepo unavuma kuelekea upande wa pili unaanza kujihami? Kudo kama usemalo linatoka moyoni!
 
Kuna ukweli na usemalo na linatoka moyoni au ni kwa kuwa umekosa uteuzi na upepo unavuma kuelekea upande wa pili unaanza kujihami? Kudo kama usemalo linatoka moyoni!
Imhotep ameokoka toka 2018. Mpokee vizuri usimhukumu. Amejisalimisha kwenye timu ya wapenda haki.
 
Yani Jiwe ni kwamba hatumtaki tena. Hapa ni arudi tu kwao amalizie uzee huko. Nchi imemshinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…