samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,495
- 24,223
WaAfrica tufanye kazi, kupenda kwetu bure ndio madhara yake haya.....The so called Utalii, tunataka hela zao tunafungua nchi kwa kutumia hela zao na wai ndio tabia zao matokeo yake ni nini, ni mwendo wakulana tigo na kutafuta wenzao wenyeji......Kila mtu akae kwao anzeni kulima kwa bidii karafuu ipatikane kwa wingi, vueni samaki na madagaa kwa wingi muuze kila kona, anzeni tafiti za mafuta na gas hapo ipo ya kutosha tu....
KaRwanda kanchi kadogo zana lakini huwezi kusikia huu upumbavu, mentality ya utawala wake na watu wake uelekeo ni mmoja..
KaRwanda kanchi kadogo zana lakini huwezi kusikia huu upumbavu, mentality ya utawala wake na watu wake uelekeo ni mmoja..