Bepari2020
JF-Expert Member
- Nov 7, 2020
- 2,072
- 2,453
Zanzibar ni ya wabantu toka lini? Wabantu waliletwa Zanzibar na Waarabu kama watumwa. Historia inawapiga chenga sana aisee.Nchi ya uarabuni iwe na ardhi Africa kwa Wabantu?
Unajielewa wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zanzibar ni ya wabantu toka lini? Wabantu waliletwa Zanzibar na Waarabu kama watumwa. Historia inawapiga chenga sana aisee.Nchi ya uarabuni iwe na ardhi Africa kwa Wabantu?
Unajielewa wewe?
Na kwa akili yako hata Tanganyika nayo tuseme asili yake ni german
Trusted source zipo hapo kwenye references. Au unataka nikuandikie?Nipe source ya historia yako
Lini wikipedia ikawa trusted source? Una elimu ya madrasa nini?
Jinasibisheni sasa mnalalamika nini huku? Nenda kaione serikali ya zanzibar... Wanafiq wakubwa nyie.... Nenda huko kaelezee hayo yote....Kuna sehem imeandikwa jf ni ya tanganyika? Raisi wako alivosema kama yeye ni Mzanzibar ungelikua una la kumjibu ungemwambiaje???
Sijui kwa nini hampendi tujinasibishe na uzanzibari wetu?
Tanganyika ilianza lini? Bila ya wakoloni kusingekuwa na nchi inaitwa Tanganyika.Na kwa akili yako hata Tanganyika nayo tuseme asili yake ni german
Kwahiyo wewe ni mwarabu?Zanzibar ni ya wabantu toka lini? Wabantu waliletwa Zanzibar na Waarabu kama watumwa. Historia inawapiga chenga sana aisee.
Mkataa kwao ni mtumwa..kama wewe ni black jua kwenu ni kigoma na tabora..usijikute mwarabu.Zanzibar ni ya wabantu toka lini? Wabantu waliletwa Zanzibar na Waarabu kama watumwa. Historia inawapiga chenga sana aisee.
hahah [emoji23][emoji23]Nahitaji malaYA wa kiarabu Zanzibar wanapatikana mahala gani
Kwa hiyo unasubiri muungano umalize umaskini wa Zanzibar !?Ndiyo umasikini upo na Muungano umeshindwa kuumaliza. Sasa Muungano una faida gani kwa Zanzibar?
Serikali ya Zanzibar si ipo ? Kwanini haijaumaliza umasikiniNdiyo umasikini upo na Muungano umeshindwa kuumaliza. Sasa Muungano una faida gani kwa Zanzibar?
Zanzibar kwa rushwa inatishaNafahamu kwamba Zanzibar haiwezi kujitenga na nchi nyingine Duniani, wala haiwezi kukataa mabadiliko ya maendeleo Duniani, lakini lazima kuwe na mipaka kulingana na utamaduni wa Visiwa hivyo.
Zanzibar iliingia kwenye sekta ya utalii kwa masilahi ya kukuza uchumi wake na sio vinginevyo.
Ingawaje wapo ambao badala ya kutumikia ipasavyo kwenye nafasi walizopewa wanakwenda Mrama na kusababisha dhumuni na malengo kutokufikiwa.
Katika sekta hii ya utalii na uwezekaji kuna kila sababu ya kufanya uchambuzi yakinifu kwa wageni wanaotaka kuwekeza.
Kwa mfano kuna kampuni moja ambayo umenunua maeneo mengi na makubwa ukanda huu kusini Paje na Jambini.
Mahotel yao yana jina linaloanzia na herufi P jina ambalo ni la aina ya kiungo tunachotumia kwenye chakula kama kuongeza ladha na kinawasha.
Sitaki kusema jina kamili maana watu hawa huwa na wanasheria wao tena wazawa wenyeji, hawa huwakingia Vifua na ukajikuta huna mtetezi.
Hii kampuni haifai hata kidogo kuwekeza kwenye ardhi ya Zanzibar. Hawa ni waumini wa mapenzi ya jinsia moja na hata wageni wao ni wale matajiri wakubwa Duniani wanaokuja kustarehe na wapenzi wao.
Kama ni Mwanamke atakuja na mpenzi wake wa kike, kama ni Mwanaume atakuja na mpenzi wake wa kiume.
Vitendo vyao vinatisha haswa pale ninapoangalia mila na desturi zetu.
Ni kweli kwamba tunao hapa nchini wanaume WAPUMBAVU. . Nimetumia neno WAPUMBAVU kwasababu ndio linalotumika kama Tafsida visiwani. Kumaanisha Wanaume wanao jihusisha na mapenzi ya jinsia moja.
Hawa wageni WAPUMBAVU Sasa hivi wamevuka mipaka maana Sasa Wana Pati au sherehe ambayo hufanyika kwenye Hotel zao zote.
Sherehe hizo ni za wapenzi wapya! Lakini hata wale ambao wana sherehekea kudumu kwa Muda mrefu kwenye mahusiano yao.
Unajua mwanzo nilidhania labda sherehe hizo zinajumuisha wao kwa wao tu, yaani wageni.
Jambo la kusikitisha ni kwamba hata vijana wetu wadogo kabisa nao wanajumuika. 😢
Tulichunguze jambo hili 👇
Ajira kwenye kampuni hiyo imetoa kipaumbele kwa vijana wetu WAPUMBAVU. Kampuni hiyo ndio kimbilio lao maana wanasema hawapati ajira sehemu nyingine kirahisi.
Sio kwamba kila kijana wetu afanyaye kazi hapo anakuwa wa mrengo huo HAPANA.
Wapo wenye heshima zao na hata wanaokerwa na uhamasishaji wa Vitendo vya kishetani.
Nataka kusema kwamba kasi ya ununuaji wa maeneo ya kampuni hii, inatisha. Alafu wao sio kununua tu hata kukodi.
tatizo kubwa tulilonalo sisi Waafrika ni kutokuwa na umoja, ni vigumu Sana ku chukuliwa hatua hizo haswa pale tatizo linaporipotiwa na mtu anbaye huna fedha wala kujulikana popote.
Kwanza wanasheria wao ni wazawa utapata shida Sana.
Nakumbuka tukio la Mwanamke wa Kizanzibar kuvuliwa nguo yake ya ndani. . Na Mkuu wa kitengo ambaye ni mgeni.
Mwanamke huyu alikuwa ni msafisha vyumba Hotel ya The Residence. Kisa cha kuvuliwa nguo yake ya ndani eti kuna mgeni aliche check out siku mbili nyuma na alipofika kwao akawa haioni nguo yake ya ndani.
Jambo la aibu Sana, nguo ya ndani ya Mwanamke huyo alipovuliwa ikapelekwa Reception ikapigwa picha ikatumwa kwenye mtandao ili mgeni aione kwamba je hiyo ndio nguo yake?
Mgeni akajibu kwamba sio yake.
TAMWA Zanzibar ilipopata taarifa tukaja kuchukuliwa kwenda kupigania haki ya Mwanamke mwenzetu.
Yule Bosi alipoona vile akakimbia, uongozi ukamtumia Mwanasheria wao mzawa anbaye alikuwa kwenye chombo cha kutunga sheria.
Ujinga mkubwa alioufanya Mwanamke mwenzetu huyo pamoja na TAMWA kusimama kidete akarubuniwa na uongozi pamoja na Mwanasheria mzawa akapewa Milioni Tatu akamaliza kesi tena akakimbia Zanzibar akaenda Tanga kesi ikaisha.
Nitaendelea baadae Ahsante
Kule vigogo wa serikali wana utajiri wa kutishaSerikali ya Zanzibar si ipo ? Kwanini haijaumaliza umasikini
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
sahihiHaya ndiyo matunda ya Muungano na Tanganyika. Zanzibar ingeungana na Oman badala ya Tanganyika, Zanzibar ingekuwa kama Muscat leo na ingefaidi utajiri wa mafuta. Umaskini uliopo ndiyo unaleta wawekezaji ambao hawajali mila na desturi za Zanzibar.
Kwani hiyo si Sunna mkuu!Nafahamu kwamba Zanzibar haiwezi kujitenga na nchi nyingine Duniani, wala haiwezi kukataa mabadiliko ya maendeleo Duniani, lakini lazima kuwe na mipaka kulingana na utamaduni wa Visiwa hivyo.
Zanzibar iliingia kwenye sekta ya utalii kwa masilahi ya kukuza uchumi wake na sio vinginevyo.
Ingawaje wapo ambao badala ya kutumikia ipasavyo kwenye nafasi walizopewa wanakwenda Mrama na kusababisha dhumuni na malengo kutokufikiwa.
Katika sekta hii ya utalii na uwezekaji kuna kila sababu ya kufanya uchambuzi yakinifu kwa wageni wanaotaka kuwekeza.
Kwa mfano kuna kampuni moja ambayo umenunua maeneo mengi na makubwa ukanda huu kusini Paje na Jambini.
Mahotel yao yana jina linaloanzia na herufi P jina ambalo ni la aina ya kiungo tunachotumia kwenye chakula kama kuongeza ladha na kinawasha.
Sitaki kusema jina kamili maana watu hawa huwa na wanasheria wao tena wazawa wenyeji, hawa huwakingia Vifua na ukajikuta huna mtetezi.
Hii kampuni haifai hata kidogo kuwekeza kwenye ardhi ya Zanzibar. Hawa ni waumini wa mapenzi ya jinsia moja na hata wageni wao ni wale matajiri wakubwa Duniani wanaokuja kustarehe na wapenzi wao.
Kama ni Mwanamke atakuja na mpenzi wake wa kike, kama ni Mwanaume atakuja na mpenzi wake wa kiume.
Vitendo vyao vinatisha haswa pale ninapoangalia mila na desturi zetu.
Ni kweli kwamba tunao hapa nchini wanaume WAPUMBAVU. . Nimetumia neno WAPUMBAVU kwasababu ndio linalotumika kama Tafsida visiwani. Kumaanisha Wanaume wanao jihusisha na mapenzi ya jinsia moja.
Hawa wageni WAPUMBAVU Sasa hivi wamevuka mipaka maana Sasa Wana Pati au sherehe ambayo hufanyika kwenye Hotel zao zote.
Sherehe hizo ni za wapenzi wapya! Lakini hata wale ambao wana sherehekea kudumu kwa Muda mrefu kwenye mahusiano yao.
Unajua mwanzo nilidhania labda sherehe hizo zinajumuisha wao kwa wao tu, yaani wageni.
Jambo la kusikitisha ni kwamba hata vijana wetu wadogo kabisa nao wanajumuika. 😢
Tulichunguze jambo hili 👇
Ajira kwenye kampuni hiyo imetoa kipaumbele kwa vijana wetu WAPUMBAVU. Kampuni hiyo ndio kimbilio lao maana wanasema hawapati ajira sehemu nyingine kirahisi.
Sio kwamba kila kijana wetu afanyaye kazi hapo anakuwa wa mrengo huo HAPANA.
Wapo wenye heshima zao na hata wanaokerwa na uhamasishaji wa Vitendo vya kishetani.
Nataka kusema kwamba kasi ya ununuaji wa maeneo ya kampuni hii, inatisha. Alafu wao sio kununua tu hata kukodi.
tatizo kubwa tulilonalo sisi Waafrika ni kutokuwa na umoja, ni vigumu Sana ku chukuliwa hatua hizo haswa pale tatizo linaporipotiwa na mtu anbaye huna fedha wala kujulikana popote.
Kwanza wanasheria wao ni wazawa utapata shida Sana.
Nakumbuka tukio la Mwanamke wa Kizanzibar kuvuliwa nguo yake ya ndani. . Na Mkuu wa kitengo ambaye ni mgeni.
Mwanamke huyu alikuwa ni msafisha vyumba Hotel ya The Residence. Kisa cha kuvuliwa nguo yake ya ndani eti kuna mgeni aliche check out siku mbili nyuma na alipofika kwao akawa haioni nguo yake ya ndani.
Jambo la aibu Sana, nguo ya ndani ya Mwanamke huyo alipovuliwa ikapelekwa Reception ikapigwa picha ikatumwa kwenye mtandao ili mgeni aione kwamba je hiyo ndio nguo yake?
Mgeni akajibu kwamba sio yake.
TAMWA Zanzibar ilipopata taarifa tukaja kuchukuliwa kwenda kupigania haki ya Mwanamke mwenzetu.
Yule Bosi alipoona vile akakimbia, uongozi ukamtumia Mwanasheria wao mzawa anbaye alikuwa kwenye chombo cha kutunga sheria.
Ujinga mkubwa alioufanya Mwanamke mwenzetu huyo pamoja na TAMWA kusimama kidete akarubuniwa na uongozi pamoja na Mwanasheria mzawa akapewa Milioni Tatu akamaliza kesi tena akakimbia Zanzibar akaenda Tanga kesi ikaisha.
Nitaendelea baadae Ahsante
Too late bro huwezi kuzuia hayo makampuni yasiingie,maana watunga sera wetu wa sasa,wao kipaumbele ni ukuaji wa uchumi na diplomasia ya nje.Nafahamu kwamba Zanzibar haiwezi kujitenga na nchi nyingine Duniani, wala haiwezi kukataa mabadiliko ya maendeleo Duniani, lakini lazima kuwe na mipaka kulingana na utamaduni wa Visiwa hivyo.

Maadili zanzibar ni Zero.Maadili ya watoto wengi wa kizanzibar yamepotea sana tena mno nayo imechagizwa na UVIVU wao wa kufanya kazi na kupenda mtelemko.
😂 😂 😂 😂Nahitaji malaYA wa kiarabu Zanzibar wanapatikana mahala gani