Nani kakwambia Oman Hakuna umasikini ?Haya ndiyo matunda ya Muungano na Tanganyika. Zanzibar ingeungana na Oman badala ya Tanganyika, Zanzibar ingekuwa kama Muscat leo na ingefaidi utajiri wa mafuta. Umaskini uliopo ndiyo unaleta wawekezaji ambao hawajali mila na desturi za Zanzibar.
Mbona dada zenu tunawabatua huku bara Kama kawaida ?Huyu ni mtanganyika alie create account akajinasibisha na uzanzibari l.
Wazanzibar hawana hiyo akili ...WaAfrica tufanye kazi, kupenda kwetu bure ndio madhara yake haya.....The so called Utalii, tunataka hela zao tunafungua nchi kwa kutumia hela zao na wai ndio tabia zao matokeo yake ni nini, ni mwendo wakulana tigo na kutafuta wenzao wenyeji......Kila mtu akae kwao anzeni kulima kwa bidii karafuu ipatikane kwa wingi, vueni samaki na madagaa kwa wingi muuze kila kona, anzeni tafiti za mafuta na gas hapo ipo ya kutosha tu....
KaRwanda kanchi kadogo zana lakini huwezi kusikia huu upumbavu, mentality ya utawala wake na watu wake uelekeo ni mmoja..
Simply kilichoandikwa hapo hata ambaye si mwerevu ataelewa lakini mbona wewe kukaza shingo?unaweka “UMIMI” huyo uliyemuita raisi naye ni binadamu siyo kila atakachosema ni sahihi acheni kwanza kujiita sisi kisha urudi hapa na lugha inayoelezeka vizuri.Hata raisi wako aliwahi kusema mimi ni Mzanzibari kwaio alikosea au?
Ukifika Zanzibar kama hujawahi kwenda usiwe na pupa.Mbona dada zenu tunawabatua huku bara Kama kawaida ?
Khadija kopa si mzanZibar mbona hajaolewa si anabatuliwa Kama kawaida !!!
Mnajionaga very saints kumbe wahuni tu. Mnajifanya mmeshika dini lakini mnasikiliza nyimbo za Diamond
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Yaani mawazo yako wewe yanaonyesha tayari unaliwa. Kwamba mngeungana na muscat mgefaidi mafuta, idiot. Uanzishe urafiki na jirani yako ili ufaidi mali zake. Naye lazima akufaidi nyambafuHaya ndiyo matunda ya Muungano na Tanganyika. Zanzibar ingeungana na Oman badala ya Tanganyika, Zanzibar ingekuwa kama Muscat leo na ingefaidi utajiri wa mafuta. Umaskini uliopo ndiyo unaleta wawekezaji ambao hawajali mila na desturi za Zanzibar.
Umesoma ulichobandika au umeokota tuu Google halafu ukaleta? Muscat umeshafika?Nani kakwambia Oman Hakuna umasikini ?
Oman Poverty Rate: Good News from the Middle East
As long as the government continues to focus on reducing the Oman poverty rate, the Sultanate will surely be a bright spot in the Middle East.borgenproject.org
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Muungano na Tanganyika umeleta faida gani Zanzibar? Urafiki na Tanganyika umeleta faida gani? Si afadhali Zanzibar ingerudia asili yake ambayo ni Oman. Kumbuka Zanzibar ilikuwa ni sehemu ya Oman kihistoria.Yaani mawazo yako wewe yanaonyesha tayari unaliwa. Kwamba mngeungana na muscat mgefaidi mafuta, idiot. Uanzishe urafiki na jirani yako ili ufaidi mali zake. Naye lazima akufaidi nyambafu
Haya majamaa Ni majinga Sana... Hayajawahi kuwaza mikakati Yao binafsi ya kujikomboa ila utasikia tunakosa misaada ya pesa kutoka nchi za kiislam.Yaani mawazo yako wewe yanaonyesha tayari unaliwa. Kwamba mngeungana na muscat mgefaidi mafuta, idiot. Uanzishe urafiki na jirani yako ili ufaidi mali zake. Naye lazima akufaidi nyambafu
We ng'ombe sio kufika tu Nina malaya Kama wewe nimewajaza hukoUmesoma ulichobandika au umeokota tuu Google halafu ukaleta? Muscat umeshafika?
Labda Oman ya Bibi yakoMuungano na Tanganyika umeleta faida gani Zanzibar? Urafiki na Tanganyika umeleta faida gani? Si afadhali Zanzibar ingerudia asili yake ambayo ni Oman. Kumbuka Zanzibar ilikuwa ni sehemu ya Oman kihistoria.
Nipe source ya historia yakoMuungano na Tanganyika umeleta faida gani Zanzibar? Urafiki na Tanganyika umeleta faida gani? Si afadhali Zanzibar ingerudia asili yake ambayo ni Oman. Kumbuka Zanzibar ilikuwa ni sehemu ya Oman kihistoria.
Ungewahi kufika Muscat usingeongelea umasikini wa Oman. Tena ukaenda kuokota uzi Google ambao hujauelewa ukauleta hapa.We ng'ombe sio kufika tu Nina malaya Kama wewe nimewajaza huko
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Vitendo vyao vinatisha haswa pale ninapoangalia mila na desturi zetu.
Hii hapaNipe source ya historia yako
Nchi ya uarabuni iwe na ardhi Africa kwa Wabantu?Muungano na Tanganyika umeleta faida gani Zanzibar? Urafiki na Tanganyika umeleta faida gani? Si afadhali Zanzibar ingerudia asili yake ambayo ni Oman. Kumbuka Zanzibar ilikuwa ni sehemu ya Oman kihistoria.
Ndiyo umasikini upo na Muungano umeshindwa kuumaliza. Sasa Muungano una faida gani kwa Zanzibar?Haya majamaa Ni majinga Sana... Hayajawahi kuwaza mikakati Yao binafsi ya kujikomboa ila utasikia tunakosa misaada ya pesa kutoka nchi za kiislam.
Mara tungekuwa tumeungana na Oman tungekuwa mbali. Hutakuja kusikia Wana mikakati ya uwekezaji kwenye teknolojia, miundombinu ya kisasa, miji ya satellite.
Hiyo Zanzibar ukifika umasikini umetamAlAki kila sehemu. Watu wavivu. Kazi hata ya kuzibua mitalo wanasema ni za wanyamwezi - watanganyika.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Nipe source ya historia yakoMuungano na Tanganyika umeleta faida gani Zanzibar? Urafiki na Tanganyika umeleta faida gani? Si afadhali Zanzibar ingerudia asili yake ambayo ni Oman. Kumbuka Zanzibar ilikuwa ni sehemu ya Oman kihistoria.
Lini wikipedia ikawa trusted source? Una elimu ya madrasa nini?