Hii kampuni haifai hata kidogo kuwekeza kwenye ardhi ya Zanzibar

Kuna Monitoring and Evaluation inatakiwa ifanywe na ZIPA na Kamisheni ya Utalii kuyajua haya kisha kuchukuliwa hatua. Suala jee RC na DC hawayajui haya?
 
Tatizo la Zanzibar ni kukimbilia biashara ya utalii bila kuwa na Sera ya Utalii Endelevu!
Utalii si biashara nzuri. Kama hakuna udhibiti wa kutosha utalii mara zote unageuza wenyeji kuwa watumwa!
Ni suala la muda tu.
 
Sawa kwa hiyo umekubali wabantu asili yao ni bara siyo Zanzibar
Kuzaliwa zanzibar sio kua mwarabu..sijui warabu waliwafanyeje nyie wazenji..jitu jeusi linajikuta jaarabu hadi rafudhi limebadili..ni upumbafu.

#MaendeleoHayanaChama
 
 
Wazanzibari hawataki na wala hawakubali kuitwa Watanzania, bali Uzanzibari ndio uzalendo wetu.
Watanganyika wengi hawapo tayari kuutetea Utanganyika wao, bali wanapenda sana kujiita Watanzania.
Watanganyika wanajiona kuwa wao ndio wenye haki zaidi na Zanzibar kuliko Wazanzibari wazaliwa!
Wazanzibari hatuna chuki wala uadui na Watanganyika, bali ni wazi kwamba sera na siasa za CCM ndio wachonganishi na wakaanga mbuyu!
Kinachoendelea ni CCM-Tanganyika kuitawala kimabavu Zanzibar tu!
Je, kwanini Wazanzibari hawautaki huu Muungano wa Baba wa Taifa Nyerere!?
👇
 
Kuna nchi kama za north Africa zinategemea utalii lakini tamaduni zao hazijaharibiwa kwa sababu wananchi wenyewe wako very serious na tamaduni zao.

Zanzibar kuna mmomyoko mkubwa wa maadili unaotokana na kizazi kipya. Mabinti wadogo wanabakwa sana na kupewa ujauzito pasipo sheria kufuata mkondo wake. Mashoga wamejaa sababu ya tamaduni za kubinjukiana zilizotawala miongoni mwa jamii za pwani
 
Kwahiyo mama watoto unaamuaje sasa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Siku hizi tanganyika ushoga umeenea kwa kasi sana na kila siku mitandaoni watu wanawafurahia kina dokta kumbuka na kina mwinjaku
Zanzibar mmewahi kuwa na kiongozi mkubwa wa "nchi" shoga
 

Ukweli mtupu, Wapemba ni watafutaji sana na ndio mana wametapakaa kila sehemu, Ila wa Unguja ni wavivu sana. Huu ni ukweli mchungu hata kama hawatoukubali
 
Hayo ni matunda ya Uvamizi uliopewa Jina la muungano
 
Wazanzibari gani hawataki?

Wangekuwa hawataki Samia,Mwinyi hao wangevunja,ila wana upenda muungano.

Kama hutaki sema wewe usijumuishe wazanzibari wote.Wewe sio msemaji wao.
 
Wazanzibari gani hawataki?

Wangekuwa hawataki Samia,Mwinyi hao wangevunja,ila wana upenda muungano.

Kama hutaki sema wewe usijumuishe wazanzibari wote.Wewe sio msemaji wao.
Hivi Mwinyi Na Samia ndiyo Zanzibar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…