Hii kasumba ya mtu kutoa comment ili apate reactions nyingi huwa inawafaidisha nini?

Can you imagine hadi kwenye huu uzi wanaweka tu, 😂.. Anyways I wasn't that serious too, the ban changed me
 
🍻 Walevi tuingie hapa 😂😂

Kunywa kwa mipango ndugu zangu… usije ukafika mwisho wa mwezi unaanza kumuita mwenye nyumba “Mzee wangu” kwa heshima ya kulazimisha! 😂🍺
Jamani one ni hela zenu za michango jamaa a nakunywa mnyweshoo
 
🤣🤣🤣
 
Hakuna mtu anaye reply kwenye andiko lako ili apate engagement sjui reactions.
Mtu ana engage na comment yako kama karidhika/ kafurahishwa nayo.

Watu wana reply randomly kulingana na mood aliyonayo wakati huo. Hatuwezi fanana
Ok
 
Yaan hii post ndiyo naiona saiv
Na zingine kibao nasoma tu comment leo ni kama sikua jukwaani yaani😂
Basi umepatwa na mengi my g.
Nilikuwa nauliza maswali muhimu ila walimwengu waka ni attack
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…