Vesuvius
JF-Expert Member
- Jun 27, 2021
- 2,478
- 5,102
Unaona sasa vile elimu imeshindwa kukusaidia. Hitimisho lako ni la mtu asiyepembuaSawa kilaza. bila elimu sijui hata kama JF ingekuwepo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaona sasa vile elimu imeshindwa kukusaidia. Hitimisho lako ni la mtu asiyepembuaSawa kilaza. bila elimu sijui hata kama JF ingekuwepo
Ule sio utani mkuu.Inawezekana wala hajavuka mipaka ya utani,, utani wa jamii huwa unaendana na kuakisi aina ya watu wa jamii husika
Katika enzi hizi Jamii yoyote ambayo haiheshimu sana vyeti kutoka elimu rasmi ni jamii ya hovyo, hatuwezi tukachukua mifano michache ya watu waliofanikiwa bila elimu kufifisha nguvu za vyeti.Na ingawa hajajieleza vizuri sana, hoja yake ya kimsingi ina mantiki.
Ukiondoa maneno ya shombo yote na dharau zake, hoja yake ya kimsingi ni kupingana na logical fallacy ya "argument from authority" ya kuheshimu sana vyeti, elimu rasmi.
Kuna watu hivyo ndivyo wanavyotaniaUle sio utani mkuu.
😂😂😂 wizo una PhD ya mizagamuoMuacheni Dotto aendelee kuwanyoosha na DIPLOMA ZENU UCHWARA.
Sisi wenye elimu kubwa kuanzia PhD na MASTERS hatujaguswa na hili. TUNAJIAMINI.
Wenye DIPLOMA ZA NYUKI mtajua hamjui.
Cc: DR Mambo Jambo Yohimbe bark Poor Brain Lamomy mshamba_hachekwi dronedrake Mzee wa kupambania
Hutakiwi kuheshimu vyeti, unatakuwa kuheshimu ujuzi. Kwa sababu vyeti si ujuzi. Vyeti mtu anaweza kununua.Katika enzi hizi Jamii yoyote ambayo haiheshimu sana vyeti kutoka elimu rasmi ni jamii ya hovyo, hatuwezi tukachukua mifano michache ya watu waliofanikiwa bila elimu kufifisha nguvu za vyeti.
Fikiria mtu anakuja kukufanyia upasuaji wa kichwa anakuambia yeye hana vyeti alikuwa nesi tu muda mrefu wa madaktari wa vichwa akajipatia uzoefu.
Fikiria turuhusu kuwa na jaji au mwanasheria mkuu ambaye ni bush laywer tu kwa sababu waliopo wenye vyeti hawafanyi vizuri
Fikiria upande ndege unaambiwa rubani hana cheti
Cheti ni hatua ya kwanza kufanya tathimini ya ujuzi, kama huna cheti maelezo lazima yawe mengi na ya kuridhisha ili angalau ufunguliwe mlango ukaonyeshe huo ujuzi wako.Hutakiwi kuheshimu vyeti, unatakuwa kuheshimu ujuzi. Kwa sababu vyeti si ujuzi. Vyeti mtu anaweza kununua.
Yani hata ukilazimisha vyeti, bado unatakiwa kuhakiki ujuzi. Kwa sababu mtu anaweza kuwa na vyeti bila ujuzi.
Kuheshimu sana vyeti bila kuangalia uwezo ni uzembe, ni uvivu, ni kutafuta shortcut ya kusema "kila mwenye cheti ana ujuzi au potential ya kuwa na ujuzi". Kitu ambacho si kweli.
Haya mambo ni ukimbukeni wa jamii ambazo ndiyo zinaanza kupata el8mu ya vyeti, na fields ambazo hazijawa disrupted na technology.
This is a logical fallacy, argument from authority.
Huo ni utamaduni wa nchi zinazolimbuka kwenye elimu rasmi. Huko ambako usomi ni degree. Degree zenyewe ndiyo kwanza watu wanaanza kupata.Degree zenyewe watu hata kuongea kimantiki hawawezi.Cheti ni hatua ya kwanza kufanya tathimini ya ujuzi, kama huna cheti maelezo lazima yawe mengi na ya kuridhisha ili angalau ufunguliwe mlango ukaonyeshe huo ujuzi wako.
Hatari sana
Huyu ni mjinga tu ndo maana wenye akili wanamtazama tuHuyu hana pesa na ni mjinga na mpumbavu sana! Hata siku moja huwezi mkuta Elon Mask au Bill Gates wanaongea huu upumbafu. Huyu ana vijisenti (in Chenge's voice) vya kubadilishia tu mboga. Period!