Hii kauli Dotto Magari kuhusu Elimu. Anatakiwa achukuliwe hatua za kisheria kwa kupotosha na kutukana umma

Hii kauli Dotto Magari kuhusu Elimu. Anatakiwa achukuliwe hatua za kisheria kwa kupotosha na kutukana umma

Na ingawa hajajieleza vizuri sana, hoja yake ya kimsingi ina mantiki.

Ukiondoa maneno ya shombo yote na dharau zake, hoja yake ya kimsingi ni kupingana na logical fallacy ya "argument from authority" ya kuheshimu sana vyeti, elimu rasmi.
Katika enzi hizi Jamii yoyote ambayo haiheshimu sana vyeti kutoka elimu rasmi ni jamii ya hovyo, hatuwezi tukachukua mifano michache ya watu waliofanikiwa bila elimu kufifisha nguvu za vyeti.
Fikiria mtu anakuja kukufanyia upasuaji wa kichwa anakuambia yeye hana vyeti alikuwa nesi tu muda mrefu wa madaktari wa vichwa akajipatia uzoefu.
Fikiria turuhusu kuwa na jaji au mwanasheria mkuu ambaye ni bush laywer tu kwa sababu waliopo wenye vyeti hawafanyi vizuri
Fikiria upande ndege unaambiwa rubani hana cheti
 
Natamani kusema apuuzwe, ila nikikumbuka anavyofika hadi kwa viongozi wa juu kabisa na kupiga nao picha nk, inanipa picha nyingine kabisa.

Hapaswi kupuuzwa, anapaswa kuonywa , najua ana akili ya kiteja bado lakini asisingizie mapito yake ya nyuma
 
Katika enzi hizi Jamii yoyote ambayo haiheshimu sana vyeti kutoka elimu rasmi ni jamii ya hovyo, hatuwezi tukachukua mifano michache ya watu waliofanikiwa bila elimu kufifisha nguvu za vyeti.
Fikiria mtu anakuja kukufanyia upasuaji wa kichwa anakuambia yeye hana vyeti alikuwa nesi tu muda mrefu wa madaktari wa vichwa akajipatia uzoefu.
Fikiria turuhusu kuwa na jaji au mwanasheria mkuu ambaye ni bush laywer tu kwa sababu waliopo wenye vyeti hawafanyi vizuri
Fikiria upande ndege unaambiwa rubani hana cheti
Hutakiwi kuheshimu vyeti, unatakuwa kuheshimu ujuzi. Kwa sababu vyeti si ujuzi. Vyeti mtu anaweza kununua.

Yani hata ukilazimisha vyeti, bado unatakiwa kuhakiki ujuzi. Kwa sababu mtu anaweza kuwa na vyeti bila ujuzi.

Kuheshimu sana vyeti bila kuangalia uwezo ni uzembe, ni uvivu, ni kutafuta shortcut ya kusema "kila mwenye cheti ana ujuzi au potential ya kuwa na ujuzi". Kitu ambacho si kweli.

Haya mambo ni ukimbukeni wa jamii ambazo ndiyo zinaanza kupata el8mu ya vyeti, na fields ambazo hazijawa disrupted na technology.

This is a logical fallacy, argument from authority.
 
Cheti ni hatua ya kwanza kufanya tathimini ya ujuzi, kama huna cheti maelezo lazima yawe mengi na ya kuridhisha ili angalau ufunguliwe mlango ukaonyeshe huo ujuzi wako.
 
Cheti ni hatua ya kwanza kufanya tathimini ya ujuzi, kama huna cheti maelezo lazima yawe mengi na ya kuridhisha ili angalau ufunguliwe mlango ukaonyeshe huo ujuzi wako.
Huo ni utamaduni wa nchi zinazolimbuka kwenye elimu rasmi. Huko ambako usomi ni degree. Degree zenyewe ndiyo kwanza watu wanaanza kupata.Degree zenyewe watu hata kuongea kimantiki hawawezi.

Degree katika nchi ambayo haina utamaduni wa usomi ni majanga tu, watu watasoma iki wapasi mitihani bila hata kuelewa subject matter, iki nradi wapate degree, wapande madaraja kazini, waongeze mishahara. Hapi degree zinasaidia kupandisha mishahara tu, si kupandisha usomi.

Kuna sehemu nchi zilizoendelea interview unafanyiwa kwa aptitude test.

Yani unapewa computer unaambiwa andika computer program script ku solve tatizo fulani. Hapo kama unajua unajua, kama hujui hujui. Cheti hakikusaidii hapo. Kinachokusaidia ni uwezo wako wa kutatua matatizo.

Nakala za vyeti unawasilisha kama formality miezi mitatu baada ya kufanya kazi, viwepo kwenye file tu.

Tena kama unafanya kazi yako vizuri watu wanaweza kusahau kabisa habari za vyeti.

Watu wako result orientwd, problem solving oriented

Si ulimwengu wa kutukuza vyeti wakati vyeti unaweza hata kununua na mitihani kufanyiwa.
 
Huyu mtu alifaa sana kuwa Mganga wa kienyeji....🤔👆
Ana watu wake wanaofanana nayeye ki mtazamo wanao msapoti...
Akili ni nywele kila mtu anazake...
 
Dah dhiaka kubwa hiii...sijui kwanini wale ambao shule iliwapitia kushoto huwa wana hasira Sana na waliosoma...(mfano Joseph msukuma).
 
Huyu mtu alifaa sana kuwa Mganga wa kienyeji....🤔👆
Ana watu wake wanaofanana nayeye ki mtazamo wanao msapoti...
Akili ni nywele kila mtu anazake...
 
Sio challenge ni upumbavu, hajataja mtu ila anamtukana hadi rais wetu maana naye ni msomi
 
Wapo 3 hawa wapumbaf chif godlove, doto magari, na huyu chwa wa diamondi anatakaga kubwba mimba ya diamond
 
Huyu hana pesa na ni mjinga na mpumbavu sana! Hata siku moja huwezi mkuta Elon Mask au Bill Gates wanaongea huu upumbafu. Huyu ana vijisenti (in Chenge's voice) vya kubadilishia tu mboga. Period!
Huyu ni mjinga tu ndo maana wenye akili wanamtazama tu
 
Back
Top Bottom