Kwa sasa kumekuwa na watu wengi sana wakitumia hiyo kauli.
Je, inawezekana ni mojawapo ya mbinu ya kuwafanya wananchi waache kusema yanayowasibu kuhusiana na haki au stahiki zao?
Hizo ni akili za wakoloni kuwaambia watumwa Fanyeni kazi MUNGU atawajalia huku wao wakinenepa kama ngedere,Kwa hiyo hata Tanzania watumwa wanakamatwa Kwa kusema ukweli juu ya tozoooooo,so angalia watumwa wamekaakimya huku mwenzao akinyongwa wao wapo pembeni wakishangaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.