Hii kauli ya "acheni kulalamika tafuteni hela" ni mbinu ya kuzuia watu kusema ukweli au kudai haki zao?

Hii kauli ya "acheni kulalamika tafuteni hela" ni mbinu ya kuzuia watu kusema ukweli au kudai haki zao?

Lanlady

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2019
Posts
1,836
Reaction score
6,303
Kwa sasa kumekuwa na watu wengi sana wakitumia hiyo kauli.
Je, inawezekana ni mojawapo ya mbinu ya kuwafanya wananchi waache kusema yanayowasibu kuhusiana na haki au stahiki zao?
 
Tusionazo tunasikiliza na kuvumilia huku tukitokwa machoz ya damu ndani Kwa ndani
 
Hizo ni akili za wakoloni kuwaambia watumwa Fanyeni kazi MUNGU atawajalia huku wao wakinenepa kama ngedere,Kwa hiyo hata Tanzania watumwa wanakamatwa Kwa kusema ukweli juu ya tozoooooo,so angalia watumwa wamekaakimya huku mwenzao akinyongwa wao wapo pembeni wakishangaa
 
Ni kauli inayotolewa na watu ambao wana pesa za average, usije ukafikiri matajiri wakubwa wanaweza kutoa kauli ya hivyo ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom