Hii Kesha,'s saloon Sinza ichunguzwe na wanawake acheni ujinga wa kutengeneza shepu

Hii Kesha,'s saloon Sinza ichunguzwe na wanawake acheni ujinga wa kutengeneza shepu

Hujaelewa nini mkuu?wadada wanaenda kutengeneza shepu kwenye mchakato wa kutengeneza hiyo shepu wanabakwa usipoelewa hapo kalale
Mkuu haueleweki. Hayo mambo yenu ya Sinza unaleta humu bila kueleza vya kutosha kuna watu wako Tandahimba, Miami, Kandahar, Durban na kwingineko unadhani wataelewa unachosema?

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Umeandika kama vile wote tunaijua hii saluni na kinachofanyika humo. Saluni (nimeassume ni ya nywele) inakuwaje na vitendo vya ubakaji? Vinatokea katika mazingira gani? Tuambie hata sisi tuendao saluni nyingine tukiona viashiria tukimbie
Kuna michezo michafu
 
Back
Top Bottom