Hii Kesha,'s saloon Sinza ichunguzwe na wanawake acheni ujinga wa kutengeneza shepu

Hii Kesha,'s saloon Sinza ichunguzwe na wanawake acheni ujinga wa kutengeneza shepu

Wakati Mkuu wa Mkoa Dar es salaam akiendelea kupambana na makahaba na madanguro Dar aangalie na hili suala la ubakaji unaoendelea katika saloon ya Kesha's iliyopo Sinza

Ni fedheha na aibu kubwa kwa kinachoendelea ndani ya saloon hiyo kikihusisha idhalilishaji WA wazi wa mwanamke.

Kwenu wanawake punguzeni kuwa na tamaa za kutaka kuiga kila kitu mambo ya shepu na kukata tumbo hayakuhakikishii kuwa na ndoa au mapenzi ya kweli anza kujipenda kwanza wewe mwenyewe jinsi ulivyo na kujikubali.

Ona sasa mnaipa serikali kazi kwa ujinga wenu wenyewe kuna watu hawana shepu lakini wana ndoa Bora,wanapendwa na kuheshimiwa na wenza wao

Acheni ujinga
Mwandishi una elimu gani?. Hata pre standard one hawezi andika takataka kama hizi.
 
Ke yeyote anayehangaikaga na urembo wa kutengenezwa kama wigi/kucha/matiti/hipsi/ngozi/makalio/kope bandia sivutiwagi naye kabisa maana huwa simtofautishi na wale kuku wasio na Baba wala Mama kimwonekano hata na ladha.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app

Hakuna kuku asiye kuwa na baba wala mama,labda useme ki malezi,unaelewa maana ya fertilization?
 
Acha wapigwe pipe tu mana wanatumia madako kufikiria badala ya ubongo...yani hata kwa elimu ndogo ya std 7,shepu inaongezwa kwa kupakwa mafuta na kufanyiwa masaji...ingekua rahisi hivyo wachina wote wangekua na shepu ya mashite
 
Umeandika kama vile wote tunaijua hii saluni na kinachofanyika humo. Saluni (nimeassume ni ya nywele) inakuwaje na vitendo vya ubakaji? Vinatokea katika mazingira gani? Tuambie hata sisi tuendao saluni nyingine tukiona viashiria tukimbie
Mange Kimambi hii issue ndiye kaiibua... Inasemekana kwenye hiyo saloon anawaaminisha wadada kwamba anazo dawa za kuwasaidia kuwa na shape na kukata mafuta tumboni ili tumbo liwe flat. Sasa mtiti ni kwamba hizo dawa huyo jamaa eti anawaingizia wateja wake (wanawake) kwa kupitia papuchi zao, na siyo kwa vidole bali kwa kupaka kwenye dyu dyu lake (anawaingilia kwa gia ya kuweka hizo dawa). Cha ajabu ni kwamba wanawake wengi sana wanaenda huko wanalipa pesa ndefu na jamaa anawala kiulaini kwa gia ya kuweka dawa. Sijajua vijana wa sasa wana tatizo gani in their thinking ability, yaani wanadanganywa wazi kabisa but wanatoa pesa zao na jamaa anagonga kiulaini humo kwenye saloon yake.
 
Back
Top Bottom