Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
🤣🤣🤣Mange Kimambi hii issue ndiye kaiibua... Inasemekana kwenye hiyo saloon anawaaminisha wadada kwamba anazo dawa za kuwasaidia kuwa na shape na kukata mafuta tumboni ili tumbo liwe flat. Sasa mtiti ni kwamba hizo dawa huyo jamaa eti anawaingizia wateja wake (wanawake) kwa kupitia papuchi zao, na siyo kwa vidole bali kwa kupaka kwenye dyu dyu lake (anawaingilia kwa gia ya kuweka hizo dawa). Cha ajabu ni kwamba wanawake wengi sana wanaenda huko wanalipa pesa ndefu na jamaa anawala kiulaini kwa gia ya kuweka dawa. Sijajua vijana wa sasa wana tatizo gani in their thinking ability, yaani wanadanganywa wazi kabisa but wanatoa pesa zao na jamaa anagonga kiulaini humo kwenye saloon yake.
Idadi ya majuha Tanzania ni kubwa sana!!
Kwamba dawa inapakwa kwenye mboli halafu mboli inaingizwa kwenye K?
If they [the women] are that stupid then they deserve everything they get and then some…
How can people be so incredibly stupid like that?
Good grief!!!