Hii Kesha,'s saloon Sinza ichunguzwe na wanawake acheni ujinga wa kutengeneza shepu

Hii Kesha,'s saloon Sinza ichunguzwe na wanawake acheni ujinga wa kutengeneza shepu

Wakati Mkuu wa Mkoa Dar es salaam akiendelea kupambana na makahaba na madanguro Dar aangalie na hili suala la ubakaji unaoendelea katika saloon ya Kesha's iliyopo Sinza

Ni fedheha na aibu kubwa kwa kinachoendelea ndani ya saloon hiyo kikihusisha idhalilishaji WA wazi wa mwanamke.

Kwenu wanawake punguzeni kuwa na tamaa za kutaka kuiga kila kitu mambo ya shepu na kukata tumbo hayakuhakikishii kuwa na ndoa au mapenzi ya kweli anza kujipenda kwanza wewe mwenyewe jinsi ulivyo na kujikubali.

Ona sasa mnaipa serikali kazi kwa ujinga wenu wenyewe kuna watu hawana shepu lakini wana ndoa Bora,wanapendwa na kuheshimiwa na wenza wao

Acheni ujinga
Mwanamke kupunguza ukubwa ukubwa wa tumbo kwa kuingiziwa ''dawa'' sehemu zake za siri kwa kutumia uume? Huu ni ujinga uliopitiliza.
 
Mkuu dunia imeshaharibika! Serikali haina cha kufanya. Uzinzi umeshamiri dunia nzima.
Serikali ina mengi ya kufanya ila siyo ujinga wa mkuu wa mkoa au polisi kufukuzana na machangudoa. Serikali inatakiwa ijenge shule zenye kutoa elimu yenye ubora ili wananchi waelimike na kujitambua. Pia kuwa na ajira au mazingira mazuri kwa wananchi kiuchumi.
 
Tatizo lipo kwa hao wanaodai kudhalilishwa

unapunguzwaje tumbo kwa kuvua chupi na kuingizwa vidole na dhakari kwny Uke?

kuna watu wana akili ndogo hadi unatamani kufungua mafuvu yao uone kunafananaje kwny medula zao?



Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Yani hii inashangaza hasa ni ukosefu wa akili kiasi gani
 
Hamna cha kusikitisha hapo ni wapuuzi tu hao wanaoenda kutafuta shape sinza, tena anawachatisha kabisa mwanamke analalamika we umeingiza dawa hadi ukakojoa jamaa anasema sahivi ntajitahidi nisikojoe....kmmmaee zao mazombie kabisa. Wapigwe tu dudu

🤣🤣🤣🤣

Watu Wana faidi kweli yani..

Hizo conversations wewe umeziona wapi? Au na wewe uliingiziwa dawa hadi sindano ikavunjikia ndani..
 
Back
Top Bottom