comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Bora INGEKUA kila wilaya Kuna stend ya mabus makubwaCha msingi wapanue stendi maeneo mbalimbali kurahisisha safari za watu, kwasababu hata hiyo stendi ya magufuli haitaweza ku accomodate mabasi yote nchini yanayokuja na kutoka Dar, itaelemewa
Hii inaumiza walalahoiMabadiliko mengi yanaumiza
Na kwa Dar inapaswa iwe hivyo kwenye zile wilaya 5 ilipaswa pawe na stendi kurahisisha mambo, hii sasa hivi ni usumbufu kwa wasafiri ukizingatia foleni ya DarBora INGEKUA kila wilaya Kuna stend ya mabus makubwa
Hata mwanzo watu walikataa kuhamia Digitali kwenye visimbuzi walitaka wabaki kwenye Analogue lakini kwasasa kila mtu anapenda DIGITAL ,no chenga wala kuzungusha Antena.Mabadiliko mengi yanaumiza
Hapa kilaCha msingi wapanue stendi maeneo mbalimbali kurahisisha safari za watu, kwasababu hata hiyo stendi ya magufuli haitaweza ku accomodate mabasi yote nchini yanayokuja na kutoka Dar, itaelemewa
Maamuzi mengi yanayotolewa na serikali mhanga namba moja ni raia wa kipato cha chiniKwanza ni usumbufu, mtu kama unakaa zako geza kigamboni, mwanzo ilikua unatoka na gari geza mpaka mkoani kwako, kwasasa itabidi uanze kutoka geza uitafute magufuli.
Tunarudi enzi za miaka ya nyuma za abiria Kuanza kupoteza mizigo, mfano mtu una mizigo Yako umeipakia kwenye bus kutoka rombo, mwanzo ilikua inakufuata Hadi chanika/mbagala na kwingineko, sasahivi itakubidi utoke huko ulipo ufunge tena safari ya kwenda magufuli kuchukua mizigo.
Gharama itapanda sana ya kusafiri, wale wasumbufu wapiga debe wa pale mbezi ni kitu inayokera sana wanavyogombania mizigo.
Kuna ambao wanasema mbona mnatoka kote huko mnaenda kipawa kupanda ndege, sasa najiuliza uchumi wa mtu anaepanda ndege na anaepanda bus ni sawa? Na huwezi kufananisha usafiri wa anga na wa ardhini, Wanaosema hivi nadhani wengi ni wapiga debe, wanufaika na wanaoishi karibu na mbezi mwisho.
Hii kitu itaondoka na kichwa cha mtu, dar sio kama mikoa mingine Kuna watu wengi sana, stendi Moja haitoshi.
Ngoja tuone
Tatizo siyo kupinga angalia wanaaumia ni raia wa kipato cha chiniHata mwanzo watu walikataa kuhamia Digitali kwenye visimbuzi walitaka wabaki kwenye Analogue lakini kwasasa kila mtu anapenda DIGITAL ,no chenga wala kuzungusha Antena.
Watu huwa wanapinga kwasababu ya mazoea ila kadri muda unavyoenda wanazaoe na kuwa kawaida.
Mabasi kwenda Magufuli ina faida nyingi sana kuliko hasara.
Sasa kwanini iwe kwenye mabasi tu? Mbona hauwahurumii wanaotumia Ferry/Boats na Ndege? Basi wakazi wa Bagamoyo wanaoenda Zanzibar Bakhera awafate Zinga na Wanaoenda Airport/Kipawa basi Serikali iwajengee uwanja karibu na makazi yao siyo kila mtu aende KIPAWA.Tatizo siyo kupinga angalia wanaaumia ni raia wa kipato cha chini
Hapa kila mtu atachanganyikiwa kwa muda wakeSasa kwanini iwe kwenye mabasi tu? Mbona hauwahurumii wanaotumia Ferry/Boats na Ndege? Basi wakazi wa Bagamoyo wanaoenda Zanzibar Bakhera awafate Zinga na Wanaoenda Airport/Kipawa basi Serikali iwajengee uwanja karibu na makazi yao siyo kila mtu aende KIPAWA.
Hii imekaa vizuri zaidi kwa sababu kinachotafutwa ni mapato jamaa wawekewe utaratibu huu kwamba bus likitoka linakotota lipitie terminal kuacha salio ndiyo safari iendelee.Hii ishu ni changamoto Kwa sababu Dar es Salaam ni Jiji 'tata'. Kila sehemu ya Dar es Salaam Ina makazi ya watu wengi sana kulinganisha na miko mingi. Itafutwe suluhu nzuri, mfano, gari zianzie safari Magufuli Bus Terminal, pia zinapotoka mikoani ziingie Magufuli Bus Terminal halafu waombe kwenda huko sehemu nyingine ktk ofisi zao ndogo e.g. Chanika, Gongolamboto, Kigamboni, Shekilango, Mbagala n.k
Ni aibu sana. Stendi ni ndogo sana. Yaani imedesigniwa na mtu mwenye akili kisodaCha msingi wapanue stendi maeneo mbalimbali kurahisisha safari za watu, kwasababu hata hiyo stendi ya magufuli haitaweza ku accomodate mabasi yote nchini yanayokuja na kutoka Dar, itaelemewa
Pia Ukaguzi wa mabasi hufanywa TERMINAL.Hii imekaa vizuri zaidi kwa sababu kinachotafutwa ni mapato jamaa wawekewe utaratibu huu kwamba bus likitoka linakotota lipitie terminal kuacha salio ndiyo safari iendelee.
Sahihi,so nadhani ni kitu kizuri sana na itaipa serikali uwezo wa kusimamia ipasavyo sheria hii tofauti na sasa kila gari kuanza safari bila kujulikana limekaguliwa au lah.Pia Ukaguzi wa mabasi hufanywa TERMINAL.