ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Kuna watu wajinga huko Halmashauri ambao wanakuja na mawazo ya kindezi kama haya ya eti kuwa na stendi kwamba ndio chanzo Cha Mapato.Mkuu ni bora hizi Kampuni zingejenga ofisi zao yani mfano Aboud atatufe eneo lake ajenge Standi yake ila Serikali iweke Muongozo tu na Sheria za Usalama na Mazingira, yani Tufanye kama Timu za Mipira ya Miguu tu Mfano Azam yeye kachagua kujenga Uwanja wake Chamanzi, Simba kachagua Boko, JKT kachagua Mbweni, Hii itasaidia kuwapa Urahisi Wateja na Kampuni za Ma busi watachagua sehemu nzuri ili Boashara zao ziende na Serikali inatakiwa kuweka Vigezo vya Umbali kutoka Kituo A na Kituo B ili kuepuka Msongamano, mfano Kampuni A inajenga Mwenge, Kampuni B inajenga Manzese, na Kampuni C inajenga Banana Ukonga, kampuni C inajenga Chang'ombe.
It doesn't make sense