Daah! Hii sio kweli.wewe utakuwa ni mpiga debe wa pale Magufuli stand ama utakuwa ni mlinzi wa wanaofaidika na mapato ya pale getini
Acha uongo, hakuna watu walikataa kuhamia digital, halafu TV sio huduma ya lazima kuwa nayo.Hata mwanzo watu walikataa kuhamia Digitali kwenye visimbuzi walitaka wabaki kwenye Analogue lakini kwasasa kila mtu anapenda DIGITAL ,no chenga wala kuzungusha Antena.
Watu huwa wanapinga kwasababu ya mazoea ila kadri muda unavyoenda wanazaoe na kuwa kawaida.
Mabasi kwenda Magufuli ina faida nyingi sana kuliko hasara.
Life la new Jersey wanataka kulileta huku mchafukogeUnalinganisha vipi miundombinu ya wenzetu na hii ya kwetu?
Ina maana mtu anaetoka Mbagala kwenda Mwanza lazima awahi bus masaa manne au matano kabla ya safari ili kuepuka kuchelewa, wakati angeweza kupandia bus hapo Mbagala ajiepushe na usumbufu.
Sijui mnajitahidi kutetea kitu gani hapa!.
Mpiga debe huyo itakua, wale wanaonyang'a nya raia mizgo kwa nguvuwewe utakuwa ni mpiga debe wa pale Magufuli stand ama utakuwa ni mlinzi wa wanaofaidika na mapato ya pale getini
Ukiwa na mizigo sasa ndiobalaaAjabu kuna wajinga kama Chalamila wanamtetea mjing mwenzao.
Huku bei za mafuta zimepanda, nauli zimepanda, bado abiria ajilipie nauli ya kumpeleka Magufuli Stand na bado ajilipie nauli ya bus la kwenda mkoani.
Wakati mwanzo ilikuwa mtu anatoka na bus mf. Mbagala anaenda zake mkoani moja kwa moja ana save nauli ya kwenda stand.
Sababu za kipumbavu sana 😏Sababu zote za hovyo.
- Kupunguza mabasi kusimama kiholela barabarani; Hivi kwa akili zako kuna mabasi yanayojali muda kama yale ya mikoani?
Mabasi ya mikoani ndio yanajali muda zaidi ya yote, uliza abiria akichelewa dakika mbili tu akwambie nini humpata.
Hiyo sababu ya kwanza ya uongo.
- Abiria kupata huduma nyingi sehemu moja, ni ujinga pia, haiwezekani abiria wa Mbagala aende mpaka Mbezi Magufuli kutafuta huduma ambayo angeweza kuipatia Mbagala, hii sababu nayo haina maana.
- Udhibiti wa usafiri unakuwa rahisi; huu nao ni ujinga mwingine.
Kwani serikali imeishiwa watendaji mpaka wote wakarundikane Mbezi Magufuli?
Mbona vituo vingi vya mwendokasi vina wakatisha tiketi kuanzia Mbezi Stand mpaka Posta? Kwanini hao wasimamizi wasipelekwe kule hayo mabasi ya mikoani yanapoanzia?
Nina mashaka na uwezo wako wa kuchanganua mambo.
Kwanini walale hoi na wao wapige glucoseHii inaumiza walalahoi
Ni ujinga wa ku centralize vitu vyote katika dunia ambayo mifumo yote inaenda kuwa decentralized.Kwanza ni usumbufu, mtu kama unakaa zako geza kigamboni, mwanzo ilikua unatoka na gari geza mpaka mkoani kwako, kwasasa itabidi uanze kutoka geza uitafute magufuli.
Tunarudi enzi za miaka ya nyuma za abiria Kuanza kupoteza mizigo, mfano mtu una mizigo Yako umeipakia kwenye bus kutoka rombo, mwanzo ilikua inakufuata Hadi chanika/mbagala na kwingineko, sasahivi itakubidi utoke huko ulipo ufunge tena safari ya kwenda magufuli kuchukua mizigo.
Gharama itapanda sana ya kusafiri, wale wasumbufu wapiga debe wa pale mbezi ni kitu inayokera sana wanavyogombania mizigo.
Kuna ambao wanasema mbona mnatoka kote huko mnaenda kipawa kupanda ndege, sasa najiuliza uchumi wa mtu anaepanda ndege na anaepanda bus ni sawa? Na huwezi kufananisha usafiri wa anga na wa ardhini, Wanaosema hivi nadhani wengi ni wapiga debe, wanufaika na wanaoishi karibu na mbezi mwisho.
Hii kitu itaondoka na kichwa cha mtu, dar sio kama mikoa mingine Kuna watu wengi sana, stendi Moja haitoshi.
Ngoja tuone
Halafu havina ushabihiano hataAcha uongo, hakuna watu walikataa kuhamia digital, halafu TV sio huduma ya lazima kuwa nayo.
Hawa wenzetu huwa wanafikiri kurudi kinyumenyume, sijui huwa wanawazaje?Sababu zote za hovyo.
- Kupunguza mabasi kusimama kiholela barabarani; Hivi kwa akili zako kuna mabasi yanayojali muda kama yale ya mikoani?
Mabasi ya mikoani ndio yanajali muda zaidi ya yote, uliza abiria akichelewa dakika mbili tu akwambie nini humpata.
Hiyo sababu ya kwanza ya uongo.
- Abiria kupata huduma nyingi sehemu moja, ni ujinga pia, haiwezekani abiria wa Mbagala aende mpaka Mbezi Magufuli kutafuta huduma ambayo angeweza kuipatia Mbagala, hii sababu nayo haina maana.
- Udhibiti wa usafiri unakuwa rahisi; huu nao ni ujinga mwingine.
Kwani serikali imeishiwa watendaji mpaka wote wakarundikane Mbezi Magufuli?
Mbona vituo vingi vya mwendokasi vina wakatisha tiketi kuanzia Mbezi Stand mpaka Posta? Kwanini hao wasimamizi wasipelekwe kule hayo mabasi ya mikoani yanapoanzia?
Nina mashaka na uwezo wako wa kuchanganua mambo.
Mtu anakaa vikindu anataka kwenda dodoma, badala apandie mbagala anaanza tena safari ya kwenda mbezi, hii KaliNi ujinga wa ku centralize vitu vyote katika dunia ambayo mifumo yote inaenda kuwa decentralized.
Yani hata katika mifumo ya traffic control miji mikubwa trend ni kutengeneza satellite cities nyingi nje huko watu wamalize shida zao kila mmoja sehemu yake bila wote kuhitaji kujazana sehemu moja.
Sisi bado tunarudi kwenye kulundikana sehemu moja, bila sababu ya msingi.
Matokeo yake mtu anakaa Mbagala, anakwenda Rufiji, unataka aende kuoanda basi Mbezi Stendi ya Magufuli.
Centralization ni strategy ya serikali ya kizembe ambayo inashindwa kwenda na wakati.
Ujinga mtupu.
🤣Kwanini walale hoi na wao wapige glucose
Kama ni hivi basi ingebaki namna hii. Mabasi yaingie Magufuli B.T then ndiyo yaende huko ofisi za nje ya terminal ili kuwe na win-win situation.Mbona ndivyo imekua hivi siku zote!
Kweli hii ni ngumu kumeza!Mkuu Sasa kuna Abiria atakaeshuka Hapo Magufuli ?
Kwasababu mfano mimi nakaa Sinza siwezi kushuka Magufuli nikiwa na Mizigo nitabski kwenye Bus mpaka Shekilango na Abiria wa Mabibo, Manzese, Magomeni wanafanya hivyo hivyo yani Bus litakua linaingia ndani Stand ya Magufuli na kutoka bila Abiria kutelemka
Haiwezi kutoshaMimi wasiwasi wangu ile stendi haitotosha.
Kutakuwa ni vurugu sana pale.
Kwasababu hakukuwa na sheria inayowaruhusu kufanya hivyo, yaani walijiamulia mambo yao hivyo ni sahihi kusema walizagaa mtaani.Hivi walizagaa mtaani au walikuwa kwenye ofisi zao?.
Hata mimi najiulizaHivi walizagaa mtaani au walikuwa kwenye ofisi zao?.