Hii kitu ya mabasi yote kuhamia stendi ya Magufuli imeumiza wengi

Nimekuuliza anayekaa chanika, mbutu, kisemvule au chamazi umemfikiria
Sababu hayo majibu yako ni ya kibinafsi na hili ni tatizo la mwafrika

Kumbuka dsm kuna watu million 6 wewe kwa akili yako unaona ni sahii kuhudumiwa na stendi moja
 
Hao wanaopanda ndege ni wangapi? Kulinganisha na mabasi ? Acheni ujinga
 
Ewaaaa!! haya ndo mi najua unayo jishughulisha nayo siku zote , sa nashangaa jamaa anakupa kazi nyingine eti. Lol.
Shadeeya mpaka J3 tunaenda kwenye ule uzi kuulizia MAOKOTO πŸ™‚ πŸ™‚
Tutaenda japo baada ya maokoto kutoka majamaa waliropoka saana hadi nikawa naogopa kurudi tena. Mana mwishowe tutapigwa.. πŸ˜‚
 
Ewaaaa!! haya ndo mi najua unayo jishughulisha nayo siku zote , sa nashangaa jamaa anakupa kazi nyingine eti. Lol.
Kabisa ,wanadhani kila mtu akitetea jambo basi ana interest nalo...Mara ya Mwisho kupanda Basi ilikuwa mwaka 2009....Hiyo Magufuli Terminal naiona kwenye Youtube na TV.
Tutaenda japo baada ya maokoto kutoka majamaa waliropoka saana hadi nikawa naogopa kurudi tena. Mana mwishowe tutapigwa.. πŸ˜‚
Hahahaha hakuna kuogopa ni mwendo wa kutoa facts tu....Tar 23 au 24 itasoma maana Tar 25 ni Sikukuu.
 
Hao wanaopanda ndege ni wangapi? Kulinganisha na mabasi ? Acheni ujinga
An injustice to one is an injustice to all.

Hauwezi kunyima haki ya mtu kisa ni wachache....Haki ya mmoja ikipotea basi imepotea kwa wote.
 
Nimekuuliza anayekaa chanika, mbutu, kisemvule au chamazi umemfikiria
Sababu hayo majibu yako ni ya kibinafsi na hili ni tatizo la mwafrika

Kumbuka dsm kuna watu million 6 wewe kwa akili yako unaona ni sahii kuhudumiwa na stendi moja
Mkuu mbona nimeandika solution hapo juu? Ngoja nirudie tena chini.

Solution ni kujenga terminal nyingi kila Side ya majiji tusitegemee terminal moja tu ila ni Muhimu mabasi kuanzia TERMINAL.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…