Hii kusema "huko kwa kina Kassim" ina maana gani?

Kwani Kassimu ma Jobu wakijiunga na kushawishi wabunge waseme hawana imani na serikali si bunge litavunjwa na uchaguzi utaitishwa kwa nini wasifanye hivyo?
Hiyo nguvu wanayo basi ...

Hawana huo ushawishi ,..
 
Kwani Kassimu ma Jobu wakijiunga na kushawishi wabunge waseme hawana imani na serikali si bunge litavunjwa na uchaguzi utaitishwa kwa nini wasifanye hivyo?
Hakuna mbunge atakayekubali kumpiga kura kuwa Hana Imani na rais ikizingatia wabunge wengi waliopita kimichongo kwenye chama na hata majimboni kwenye uchaguzi
 
Ni kama Mama anamuamini sana Kigogo2014. Halafu Mama anaupenda sana urais alioupata kwa bahati. Sasa 2025 nae hataki kuachia wengine.
Lini umebadilisha ID yako ya @victoire ? Au nawe umekumbwa na mkondo wa walinda legacy baada ya kabila lako kutajwa negatively (Because I know you are not among the green bleeding individuals)!!!
 
Maana yake ameshamuondolea hadhi ya uwaziri mkuu, ndio maana hakuanza na cheo Cha Waziri Mkuu, huko kwa akina Kasimu, maana yake ni kule kwenye kambi ya waliokuwa wanampinga, Bungeni ndiko aliko Kasimu na Ndungai, ndio hukohuko kwa akina Kasimu
 
Huo ndyo ukweli. Pm akijiuzulu atajiongezea credit but akisbili atakua amebugi sana!!
 
Alimaanisha huko 'bungeni'Kassim ni kiongozi wa serikali bungeni.
There you go. Wakati nawasaidia homework wanangu kuna sehemu nilisoma kwamba waziri mkuu ndio kiongozi wa serikali bungeni. Kwahiyo wakati ule wa Kikwete angesema kule kwa kina Edward/ Mizengo.
 
Kwani Kassimu ma Jobu wakijiunga na kushawishi wabunge waseme hawana imani na serikali si bunge litavunjwa na uchaguzi utaitishwa kwa nini wasifanye hivyo?
Afu watagombea kupitia chama gani?? CCM mwenyekiti ndio RAIS huyo, unadhani utapitishwa na CCM ugombee ubunge?. Wakimwaga Mboga, Samia anamwaga Ugali na kuchoma moto nyumba yenyewe.
 
Mama aache michambo aongoze nchi, yeye ni Rais sasa asilete mambo ya kipwani kizanzibari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…