Hii kusema "huko kwa kina Kassim" ina maana gani?

Hii kusema "huko kwa kina Kassim" ina maana gani?

kitendo Cha kumwita Majaliwa Kasim,ujue kuna shida ....Mama anapaniki anahoma ya 2025!
Acheni majungu mbona Nyerere alikuwa anaita Rashid anaita John badala ya kutaja vyeo vyao.

Tatizo wengi humu ni watoto mnajificha kwenye key board hamjui historia ya nchi hii.
 
Mama alikuwa anautamani uraisi miaka mingi alichelewa kuupata.
Urais umetamaniwa na wengi japo si wote walioupata, kigoma Malima aliuwawa kwasababu hiyo, Bernard Membe alifukuzwa, Lowasa aliporwa n. k

Kuna kibwagizo jana cha "Nina imani na.." mama samia Kilimkumbusha mbali sana
 
Kwani yeye akiitwa wa mpito kuna shida gani? Kwani yeye alikuwa Raisi? Kwani si uchaguzi ulikuwa umeshafanyika yeye akauchukua urais baada ya Chuma kuondoka? Si anamalizia muda uliobaki? Kwanini asiitwe wa mpito? Michambo ya Jana huenda Spika hajalala usiku wa leo.
 
Mbona hakumsema Polepole kuhusu awamu? Ni ya sita au ya tano? Pasipo kujibu hoja ya Polepole ndio maana wanamuita wa mpito.
 
kitendo Cha kumwita Majaliwa Kasim,ujue kuna shida ....Mama anapaniki anahoma ya 2025!
Hamna cha homa, kwa tz rais anweza kufanya lolote, kwa namna yoyote atakayo, wakati wowote na asifanye kitu.
Kura zenu hazi determine rais wenu.
 
Back
Top Bottom