Hii kwa wanaume wote

Better that way,kuliko kuwa wewe ndo mwenye tamaa asee,majuto yake yanakosa mtu wa kumuangushia jumba bovu!!!
Robo tatu ya watu wenye tamaa huwa wanatusua nmeshuhudia wengi wakitoboa Kwa kuwaumiza wengine wachache ndo huwa wanafeli japo Mimi binafsi naamini katika subra kama nikikosa basi lakini lazima nipate
 
Robo tatu ya watu wenye tamaa huwa wanatusua nmeshuhudia wengi wakitoboa Kwa kuwaumiza wengine wachache ndo huwa wanafeli japo Mimi binafsi naamini katika subra kama nikikosa basi lakini lazima nipate
Kwenye hili sikupingi joh,tamaa ni neno la kiswahili lenye maana labda ambitious au arrogance,na wote ambitious wamefanikiwa ila hao arrogance ndo walofeli,nlipopinga hasa hasa ni hao wa sekta ya mapenzi maana wengi wao ni arrogance(ignorance + tamaa)
 
📌📌Do or die!!!


Mwanaume huna excuse yoyote ya kufa masikini.Tafuteni hela!!!! Tafuteni helaaaaa hakuna sababu ya kuutetea umasikini.
 
Hmmmm
 
Nashukuru sana mkuu lakini "Nayaweza yote katika yeye anitiaye Nguvu"
 
Utamkuta Mtu hata Geto la kupanga chumba cha giza elfu 20 kwa mwezi hana. Lakini ana jadili Bilions za Diamond au za Mwijaku eti na yeye ipo siku.

Wenyewe wanadai eti ni Ku Dream Big🤣🤣🤣
Huwezi ku Dream Big wakati hata madogo yamekushinda, mafanikio ni Hatua.

Ukiendelea kudream Big wakati hata hela ya kula bado unadowea kwa mama yako utataka kujiingza kwenye Ushoga, ́madawa, wizi, utapeli n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…