Hii mbunga imekimbiwa awamu hii, watu wanaishi mjini

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA YESU KRISTO

Kwa mbali naliona pori la chamwino ambalo limikimbiwa kibabe sana

Watoto wa mjini huwa wanaishi mjini siyo porin

Pumzika kwa aman anko magu , polen watanzania kukosa viongozi wazalendo badala yake mna viongozi wala Bata tu

SAYUNI BOY

Screenshot_20250202-223527.png

Screenshot_20250202-223449.png
 
Hata Magufuri naye alikurupuka. Haiwezekani nchi ambayo wanachi wake hawana umeme wa uhakika ,%kubwa ya watu wake hawana maji safi na salama, miundo mbinu ya elimu ni chakavu, mamilion ya vijana wake hawana ajira ,alafu unachukua matirion ya pesa za walipa kodi na kwenda kujenga ikulu na majengo ya kifahari na kununua ndege ambazo mpaka sasa hazieleweki zinafanya nini zaidi ya kuleta hasara za mabilion ya pesa kila mwaka.
Kiufupi Tz tangu uhuru tuna ombwe kubwa sana la uongozi wenye uwezo wa kuchanganua na kufanya maamuzi kwa ajili ya maendeleo ya raia.
 
Shida ni ya magufuri au viongozi wenu wapenda starehe na anasa na wasiojishughulisha na maslahi mapana ya jamii? (Ceremonial leaders) waliofuata? Kosa la magufuli ni lipi hapo kama ninyi mmeshindwa kuendeleza? Mbona yapo mambo mengi na muhimu kayaacha na yote yanasuasua! Bwala la umeme hulioni? umeme hajapeleka vijijini Kwa kasi isiyo ya kawaida? Sgr huioni? hospitali na fly over huzioni? Watanzania wengi ni VILAZA na wajuaji wasiotambua hata kiongozi Bora anafananaje! Hopeless kbs!
 
Wanapenda kukaa DSM Kwa ajili ya upepo mwanana wa bahari
Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA YESU KRISTO

Kwa mbali naliona pori la chamwino ambalo limikimbiwa kibabe sana

Watoto wa mjini huwa wanaishi mjini siyo porin

Pumzika kwa aman anko magu , polen watanzania kukosa viongozi wazalendo badala yake mna viongozi wala Bata tu

SAYUNI BOY
 
Shida ni ya magufuri au viongozi wenu wapenda starehe na anasa na wasiojishughulisha na maslahi mapana ya jamii? (Ceremonial leaders) waliofuata? Kosa la magufuli ni lipi hapo kama ninyi mmeshindwa kuendeleza? Mbona yapo mambo mengi na muhimu kayaacha na yote yanasuasua! Bwala la umeme hulioni? umeme hajapeleka vijijini Kwa kasi isiyo ya kawaida? Sgr huioni? hospitali na fly over huzioni? Watanzania wengi ni VILAZA na wajuaji wasiotambua hata kiongozi Bora anafananaje! Hopeless kbs!
Kulikuwa kuna sababu gani ya kujenga Ikulu nyingine Dodoma kwa trillion of Tanzanian shilings, na wakati tayari kuna Ikulu nyingine ya Magogoni Far es Salaam, iliyojitosheleza kwa kila kitu?

Je, hata baada ya kuijenga hiyo ikulu ya Chamwino, ile ya Dar es salaam ingetumika kwa shughuli zipi?
 
Hata Magufuri naye alikurupuka. Haiwezekani nchi ambayo wanachi wake hawana umeme wa uhakika ,%kubwa ya watu wake hawana maji safi na salama, miundo mbinu ya elimu ni chakavu, mamilion ya vijana wake hawana ajira ,alafu unachukua matirion ya pesa za walipa kodi na kwenda kujenga ikulu na majengo ya kifahari na kununua ndege ambazo mpaka sasa hazieleweki zinafanya nini zaidi ya kuleta hasara za mabilion ya pesa kila mwaka.
Kiufupi Tz tangu uhuru tuna ombwe kubwa sana la uongozi wenye uwezo wa kuchanganua na kufanya maamuzi kwa ajili ya maendeleo ya raia.
Yule mzee alikuwa tahira ila ni mungu wa wajinga wengi.
 
Kitendo cha kujenga mji mpya huwa kinasisimua uchumi wa nchi. Hasa kama malighafi za ujenzi zinatoka ndani ya nchi.
 
Kulikuwa kuna sababu gani ya kujenga Ikulu nyingine Dodoma kwa trillion of Tanzanian shilings, na wakati tayari kuna Ikulu nyingine ya Magogoni Far es Salaam, iliyojitosheleza kwa kila kitu?

Je, hata baada ya kuijenga hiyo ikulu ya Chamwino, ile ya Dar es salaam ingetumika kwa shughuli zipi?
Ikulu ya Dar itakuwa National Park.
 
Hao
Hata Magufuri naye alikurupuka. Haiwezekani nchi ambayo wanachi wake hawana umeme wa uhakika ,%kubwa ya watu wake hawana maji safi na salama, miundo mbinu ya elimu ni chakavu, mamilion ya vijana wake hawana ajira ,alafu unachukua matirion ya pesa za walipa kodi na kwenda kujenga ikulu na majengo ya kifahari na kununua ndege ambazo mpaka sasa hazieleweki zinafanya nini zaidi ya kuleta hasara za mabilion ya pesa kila mwaka.
Kiufupi Tz tangu uhuru tuna ombwe kubwa sana la uongozi wenye uwezo wa kuchanganua na kufanya maamuzi kwa ajili ya maendeleo ya raia.
Hao viongozi wengine ambao hawakujenga ikulu wa kununua ndege wala kujenga mwabwa ya umeme walilifanyia nini taifa na wamelifanyia nini taifa kama siyo matapeli tu
 
Back
Top Bottom