Shida ni ya magufuri au viongozi wenu wapenda starehe na anasa na wasiojishughulisha na maslahi mapana ya jamii? (Ceremonial leaders) waliofuata? Kosa la magufuli ni lipi hapo kama ninyi mmeshindwa kuendeleza? Mbona yapo mambo mengi na muhimu kayaacha na yote yanasuasua! Bwala la umeme hulioni? umeme hajapeleka vijijini Kwa kasi isiyo ya kawaida? Sgr huioni? hospitali na fly over huzioni? Watanzania wengi ni VILAZA na wajuaji wasiotambua hata kiongozi Bora anafananaje! Hopeless kbs!
Ww ndo kielelezo cha ukilaza wa watz hivi Magufuri alifanya kitu gani ambacho hakikuwahi kufanywa na marais wengine mpaka aonekane ni kiongozi wa kipekee kama nyinyi chawa wake mnavyo jaribu kuaminisha watu?
Ya kwamba JPM yeye alikuwa hapendi sitarehe?kama alikuwa hapendi sitarehe kwanini kutembelea pikipiki badala yake alikuwa anatembea rundo la msafara wa v8 na helicopter juu?
Au mboa hakwenda kujenga ikulu ya makuti badala yake akaenda kujenga ikulu ya mabilion ya fedha?
Yaani ww huoni tatizo juu ya hilo kabisa?
Yaani unajiita kiongozi wa wanyonge alafu unatumia matrion ya pesa kujenga majengo ya kifahari na kununa ndenge alafu anakataa kuwaajili mamilion ya watoto wa hao wanyonge anao jifanya ana watetea.
Hivi hapa Tz kuna kiongozi ambaye aliongoza alafu hakujenga barabara,mahospital, hakujenga vyanzo vya umeme, hakujenga shule nk ila vyote vilikuja kujengwa na Magufuri sio?
Mradi wa kusambaza umeme vijijini ulihasisiwa na kikwete na mpaka JPM anaingia madarakani vijiji zaidi ya 5000 tiyari vilikuwa na umeme wa REA na vifaa na pesa iliyo hitajika kuunganisha umeme vijiji 7000 zilikuwa zimesha lipiwa.
Alafu kingine usicho kijua ni kuwa mradi wa kusambaza umeme vijiji pesa nyingi zinatokana na ufadhili wa serikali ya Denmark na umoja wa Ulaya serikali ya ccm inatoa pesa kidogo sana.
Fly over alianzisha kikwete na Magufuri aliikuta ume fikia %55 yeye akaja kuimalizia tu ,daraja la Kigamboni alikuta limefikia %95 yeye akaja kumalizia %5 tu.
Mradi pekee ambao Magufuri aliuanzisha ambao ulikuwa amgusa mwananchi wa kawaida ni bwawa la umeme tu lakini mingine alikuwa anafanya kwa mihemuko na kutafuta umaarufu wa kisiasa kwa matutusa kama nyinyi.
Miradi yote aliyo ianzisha magufuri hakuna hata mmoja alio uacha umevuka hata %50 yote kaja kuikamilisa bibi kiziwi.