holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 1,859
- 2,986
mkuu licha ya haya yote uliyoyazungumza, lakini nipende kukurekebisha kidogo, asilimia kubwa huduma za jamii hasa maji eg (mradi wa ziwa victoria to tabora na mikoa mingine),umeme(usambazaji wa umeme vijiji na ujenzi wa bwawa la umeme la nyerere), miundombinu barabara,reli,madaraja, usafiri na usafirishaj uliongezeka, na huduma zngne zilikuwa mathubuti.Hata Magufuri naye alikurupuka. Haiwezekani nchi ambayo wanachi wake hawana umeme wa uhakika ,%kubwa ya watu wake hawana maji safi na salama, miundo mbinu ya elimu ni chakavu, mamilion ya vijana wake hawana ajira ,alafu unachukua matirion ya pesa za walipa kodi na kwenda kujenga ikulu na majengo ya kifahari na kununua ndege ambazo mpaka sasa hazieleweki zinafanya nini zaidi ya kuleta hasara za mabilion ya pesa kila mwaka.
Kiufupi Tz tangu uhuru tuna ombwe kubwa sana la uongozi wenye uwezo wa kuchanganua na kufanya maamuzi kwa ajili ya maendeleo ya raia.