Hii mbunga imekimbiwa awamu hii, watu wanaishi mjini

Msukuma mjinga sana wewe.Sasa mtu akifa halafu akikandamizwa na udongo tani saba anapumzikaje?Kuwa makini na unachokiandika msugunsu wewe.
 
Huo ujenzi pia umeleta ajira au ulitaka hao mamilion ya wasio na ajira wawekewe pesa mifukoni?
 
Kwa upande wangu nakubaliana na Hayati Magufuli. Kwa sisi wakazi wa DAR tunaona adha ya viongozi kuwa wengi huku mjini.
Barabara kufungwa, foleni kutokana na misafara, traffic na polisi kila kona.
Nchi inapanuliwa kwa kuhamisha vitu vingine kwenda mikoa mingine ikizingatiwa DOM ni mji wa kiserikali na DAR n mji wa kibiashara. Dar wabak wafanyabiashara na DOM wabaki viongozi.,

Ndege za Tanzania ni nembo imara sana kwa nchi yetu, tunaona maraisi wankuja nchini kwetu na ndege za kukodi, ila sisi tuna ndege zetu. Haujui ni watu wangapi wanaenda India (one way) - wagonjwa, wanafunzi etc.

Kukosa viongozi wa kusimamia vision za viongozi waliotangulia ndio kinatuumiza sisi. Miradi yote inatija ila ikisimamiwa vizuri kwa weledi Mfano Ndege, SGR, Biashara, Wakulima...
 
siku MANGI akiwa kiongozi mkuu wa nchi (RAI$) ndio Tanzania itapata MAENDELEO rasmi ya Mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.
n.b
huo ndio ukweli mchungu na ulio wazi, ukabila usihusishwe hapo.
 
Mungu
Hao
Hao viongozi wengine ambao hawakujenga ikulu wa kununua ndege wala kujenga mwabwa ya umeme walilifanyia nini taifa na wamelifanyia nini taifa kama siyo matapeli tu
Mungu wa masikini nae ni mmoja wa matapeli hao anajenga ikulu dodoma afu wizara zinabaki dar!
 
Mungu
Hao
Hao viongozi wengine ambao hawakujenga ikulu wa kununua ndege wala kujenga mwabwa ya umeme walilifanyia nini taifa na wamelifanyia nini taifa kama siyo matapeli tu
Mungu wa masikini nae ni mmoja wa matapeli hao
 
Mradi pekee ambao magufuri aliuanzisha na wenye tija moja kwa moja kwa mwana nchi wa kawaida ni bwawa la kuzalisha umeme na SRG kidogo kwa mbali iliyo baki yote ilikuwa ni ufujaji wa pesa za uma.

Huwezi kukumbatia kitu chenye hasara kwa taifa eti kwa ajili ya kuonesha ufahari kwenye uso wa watu wengine akili yako itakuwa haiko sawa.

China taifa la pili kwa nguvu za uchumi ulimwenginu halina ndege maalumu kwa ajili ya rais bali huwa anatumia ya kukodi ,kwa sababu wanaona kuwa na ndege binafisi ya rais ni gharama zisizo na msingi.
 
Bei ya bidhaa ambazo magufuri alizikuta kipindi ana ingia madarakani ndo alizo ziacha?
Well, ukitaka kulinganisha, tungeanzia kwenye uhalisia wa maisha kitaa...achana na number za ccm.

Mimi ni mtu wa pay cheque to pay cheque, niliona nguvu ta 10k nimeona ilivyoanza kudorora, najua 10k ilipo kwasasa kinguvu ya manunuzi!

Nyumba nilizopanga kwa 250k tabatq, zote ni 400k

Achana na hayo, rudi nyuma kidogo, Mkapa anakabidhi nchi, mkate ulikuwa sh 150, soda sh 250 nadhani, unga robo sh 150 etc, dollar 1 ikiwa chini ya sh 1,800 nadhani.

Miaka 5 ya JK, mkate ukagonga sh 750 mpaka sh 2000 anapotoka. Dollar 1 ikiwa sh 2240 nadhani.

Haya, baada ya March 2021, tukiwa hatuna lolote la kutishia uchumi, tuliona pesa inafurika kwa wachache mtaani, ambao wakasabibisha inflation kubwa. Soko likayumba, wakasema nchi imefunguliwa, wakauza mazao nje kwa pesa ya madafu, mgeni anaingia shambani kujumua, hakuna control...BBT ikaja, ghala likafunguliwa, sukari ikaagizwa, guess what? Nafuu ikawa kwa wale walioko kwenye mifereji tu ambao ni wachache.

Kwa miaka 3, nchi ikakopa kuliko miaka 10 ya raisi yoyote kuwahi kutokea...
  • Sababu wanazokupa, miradi ya kimkakati iliyoachwa na mwamba.
  • Ukiwauliza, kama miradi ilishaanza, advance payment ilishafanyika...tuambieni, mradi huu umelipwa kiasi fulani, umekamilika, malipo yaliyomaliziwa ni kiasi fulani; hivyo mradi huu na ule na ule, jumla malipo yake ni Trilioni 39.

Vinginevyo, ni upumbavu tu na wewe kuelewa, lazima utakuwa umekabidhi ubongo kwa mwenyekiti kama ilivyo ada AU ni mnufaika wa MFEREJI.
 
Wastage of money! Ununuzi wa ndege nao ulikuwa ni wastage of money!
Kama mnaona au wanaona haukuwa uamuzi mzuri kununua hizo ndege, mnaweza kuziuza na pesa hizo zikafanya mambo mengine ya maana zaidi kwa taifa.
 
Umesomeka.
Mi nasoma comment tu, endelea kutililika mwamba
 
Nimekusoma bro.
Safi sana,
 
Magogone kuna maangano nae ndo angeyavunja ila ndo bahati mbaya bye bye
 
Hatujui vipaumbele vyetu. Je ni kujenga makasri ambayo hayatumiki toka yajengwe na kujidai kwamba yana Eneo kubwa kuliko makasri yote Afrika au ni kujenga miundombinu mizuri ili mazao ya wakulima yafikishwe sokoni? Hakika kupanga ni kuchagua bali tunachokichagua siku zote ni kwa manufaa ya watu wachache walioko matawi ya juu.
 
Reactions: ITR
kwani hakukuanzishwa mradi wa umeme? tatizo bongo kila mtu na mpinzani tuu pasipo kujua hata anapinga nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…