Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Poleni sana Wananchi kwa kupoteza mchezo jana. Naamini nafasi bado ipo kama mtaenda na mipango na mbinu sahihi ugenini.
Nikirudi kwenye mada hapa, shida yangu ipo kwenye namna ya ahadi ya Rais kuhusu kutoa Milioni ishirini na namna ilivyofanyika.
Mjadala huu haufungamani na upande wowote tazameni wenyewe.