Hii mimba itakuwa ya nani?

Hii mimba itakuwa ya nani?

Yani alivofanya huyo binti ndo mademu wa siku hz wanavotufanyia.....yani anakuja kwako kesho kutwa anampa mwingine....!!! Umalaya umekua fasheni.

But to the matter,,,,Hiyo mimba ni ya jamaa wa pili
 
Mwambie kijana A kuwa una mimba yake, mwambie pia kijana B kuwa una mimba yake atakaesomeka na kubeba majukumu ndiyo huyo huyo mpe huo mzigo
 
downloadfile.jpg
 
Kwa Hisani ya watu wa Wamerekani, Kijana Brighton, Boniphace, Boloyang anahusika, kijana Alphonce hausiki kabisa.

Ila huo ni ukatili mkubwa, why ulale na vijana wawili ndani ya muda mfupi hivyo
 
Nimewahadithia wanangu huku kuzimu hadi wamebaki midomo wazi...

Mmoja ameshangaa zaidi na kudai hata zile sperm za jamaa wa mwanzo hazijakufa tayari akazipokea zingine...
 
Nature..mwanaume kawaida, mwanamke haitakiwi.

Ukitoa mambo za leisure, basically sex iko kwa ajili ya kuzaana, mwanaume mmoja anaeza tia mimba wanawake makumi ndani ya mwezi, ushaona wapi mwanamke mmoja akatiwa mimba na wanaume makumi?
Ila si unajua mimba moja ina baba 10 mkuu
 
Hivi tabia ya kujifanya ni rafiki Yako kumbe ni wewe, humu si tuna fake ID kwani ukisema wewe kuna shida gani?
Habari wanajf natumaini muwazima na mnaendelea vema na majukumu ya kila siku,kwa wale wenye changamoto yoyote poleni

Husika na kichwa hapo juu,Ipo hivi nina rafiki yangu ni mjamzito ila sasa haelewi mimba ni ya nani kati ya vijana hao wawili aliofanya nao tendo.

Kwa maelezo yake anadai aliingia period tarehe6 mwezi wa pili tarehe16 akaenda kuonana na kijana A huyo alkuwa nae usiku mzima asubuhi wakaamkia baada ya hapo akanywa p2

Tarehe20 akaenda kuonana na kijana B wakafanya yao sasa binti amenasa na anashindwa kuelewa mimba ni ya nani japo kwa kijana A alitumia p2 ila kwa kijana B baada ya tendo hakuchukua tahadhari yoyote. Tusaidieni wakuu kwa hiyo situation ilivyo hapo mimba itakuwa ya nani?

Na je mtu anaweza tumia p2 na akapata mimba kweli yan tuseme labda p2 imemsaliti au mimba ni ya kijana B
Najua humu hakuna kinachoshindikana wakuu😁
 
Asa si na mimi ndo nashangaa kwanini iwe ivo wakati humu ni fake id
 
Duu utakuwa malaya pro max haloo
 
Back
Top Bottom