Hii movement ya fans wa CHADEMA kwa Wasanii inanichekesha

Tanzania ni nchi yenye vituko sana. Watu wanadai demokrasia lakini hawakubali kuona wenzao wanachagua upande. Sasa unabaki unajiuliza hiyo demokrasia wanayoidai ni ipi? Je wanatofauti gani na wale wanaosema wanakandamiza demokrasia?
 
Wasanii 200 wameungana kutusimanga Watanzania ambayo tuna mtazamo tofauti na chama Chao, Leo Wana Jambo Lao wanataja watushirikishe, Tutakuwa labda tunaumwa au tuna mtindio WA Ubongo. Ushauri wamuombe Mahera awasaidie apenyeze Kura za maruhani.
 
Ulipopeleka mboga ndipo utakapopikiwa ugali. Sasa wasanii wamepeleka makali yao CCM, sasa wajipange kiCCM kupata kura, wasilalamike. Wavune walichokipandana.
 
Tanzania ni nchi yenye vituko sana. Watu wanadai demokrasia lakini hawakubali kuona wenzao wanachagua upande. Sasa unabaki unajiuliza hiyo demokrasia wanayoidai ni ipi? Je wanatofauti gani na wale wanaosema wanakandamiza demokrasia?
Soma ulichokiandika halafu tafakari.

Hiyo inayofanywa sasa ndio Demokrasia yenyewe, Diamond na genge lake walichagua upande (kuipigia kampeni CCM) na wapinzani wamechagua upande (kutokuwapigia kura kwenye award).
Hakuna kilichoharibika na hakuna haja ya kulalamika.
 
Basi sawa haikuwa na haja ya kuanzisha mpaka movement maana kuanzisha movement ni sawa na kuonyesha kisasi kama vile hukubaliani na haki yake ya kidemokrasia. yeye kwa sasa kusimama jukwaani na kupiga kampeni ni sawa maana ni kipindi cha kampeni... Lakini yote sawa demokrasia nikukubali kutokubaliana.
 
Mtende unapoteza muda wako bure hao WCB wanafanbase wengi Sana na Wafuasi wengi diamond na crew yake hawajawahi kushindwa kwa kura na mwaka Jana diamond alipigiwa kura 1 mil kwenye Hiyo tuzo ndio msanii wa Africa aliyoweka hiyo record ya kupata kura nyingi labda washindwe kwa kutumia kigezo kingine ila sio Cha kura
 
Miaka mingi iliyopita nilitia neno ila mashabiki lia lia wa domo walinijia juu eti wao wanapenda muziki wake tu mengine hayawahusu. Leo nimewaona wamekua wa kwanza kutoa povu daah uchaguzi wa mwaka huu joto sana😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kajifunze kuandika kwanza.
 
I'm Voting NAIJA.....

🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬
 
Hayo ndio maneno na mambo yakufanya ili kusapoti juhudi za Lissu, wanatubeza hatuwezi kuandamana, sasa tunaanza na wasanii wasihofu CCM wako wengi watawapigia. Ni bora nimpe kura Davido, Wizkid maana wanajitambua.
Mwambie akamuombe mahera na polepole wampigie kura
 
wanepuka kwa njia hipi..?,wakati kabisa wanakuwa open come on my dear
 
Miaka mingi iliyopita nilitia neno ila mashabiki lia lia wa domo walinijia juu eti wao wanapenda muziki wake tu mengine hayawahusu. Leo nimewaona wamekua wa kwanza kutoa povu daah uchaguzi wa mwaka huu joto sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tuko pamoja WCB chama letu[emoji123][emoji123][emoji123]
 
Wasanii 200 wameungana kutusimanga Watanzania ambayo tuna mtazamo tofauti na chama Chao, Leo Wana Jambo Lao wanataja watushirikishe, Tutakuwa labda tunaumwa au tuna mtindio WA Ubongo. Ushauri wamuombe Mahera awasaidie apenyeze Kura za maruhani.
acha roho mbaya
 
una uhakika Kama wapinzani waliwaita...?
 
Alafu utaskia chadema hawategmei wasanii[emoji3]...mim siipend ccm ila kwa hili sio chedema tu..hapa kuna hate ya WCB inatembea..team fulan imetumia chadem kama kichaka tu

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Nachojua mtu yeyote mwenye akili timamu na kujitambua hawezi kuwa upande wa ccm ya magufuli. Na huyo mtu sio lazima awe wa Chadema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasiopenda wa wcb wamepata chaka la kujifichia
 
Unachokifanya wewe ni hicho hicho wanachokifanya hao watu ,halafu kwanini kila kitu mnahusisha na chadema tu wakati kuna vyama kama ACT na vinginevyo .
Ukweli ni kwamba chama halisi cha upinzani nchini ni kimoja , hao wakina Lipumba ni wahuni tu.
Na lingine si kila anayepinga na hawa maSARS WA CCM ni mfuasi wa chadema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…