Hii movement ya fans wa CHADEMA kwa Wasanii inanichekesha

Nini tafsiri yako ya Movement ?

Kama issue ni mvt hata hao wasanii kutunga nyimbo za kuwakejeli wapinzani(wananchi wasio suppor maccm) nayo ni kinda movement.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni unafki kama ni harakati msichague pa kuzifanyia. Kwanini msigomee kushabikia na simba kwani hata bosi wao si aliunga mkono upande fulani. Msichague cha kuona il’hali mnajifaya mna macho mazima. Pili sidhani hata wasanii mnaowalaumu ilitokea hata siku moja watu wakanunua nyimbo zao zaidi ya kuzipakua bure. MUACHE UNAFKI HIZO HARAKATI MNAZICHANGANYA NA SIASA.
 
Tulia wewe ZUCHU kura sijakupigia,kamwambie Mahera na Polepole wakupigie
 
😃😃😃 hebu fikiria watu wako wa karibu,unaowategemea kwenye harakati za kimaisha wakianza kukutenga kwa kuzingatia misimamo ya kiitikadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…