Hii ndio hali ya Bumbuli ambayo Mbunge wake ni Waziri wa Mambo ya nje ya Nchi

Yaani haka kamtu kamekaa tu kiupigaji na sio kakukategmea kawaletee maendeleo wana bumbuli na hata msipokachagua katapita tu kwa hila
 
Mbona afadhali nenda Jimbo la Kibakwe kwa Simbachawene kipindi cha mvua gari kupita Gulwe pale ni ishu lazima kuzungukia Mtera iwapo unaenda Vijiji vya Galigali,Kinusi,Ipera,Chogola,kifupi mbunge Simbachawene ni hovyooo kabisa kazi uchawi mtu akigusa Jimbo lile kujinadi huwa anaishia kuzikwa.
 
Kama
Kama nimekuelewa, huo mchakato wa kumpata mkandarasi mpembuzi yakinifu umefikia asilimia 99.9.
 
Januari ni Waziri kwa sababu alichaguliwa na watu wa Bunbuli. Kawaandikia kijitabu cha kiingereza akiwaahidi kuwaletea maroli ya barafu ili wawe wanasfirisha matunda yao kupeleka kwenye msoko Dar, na vile vile kuwanunulia hisa New York Stock Exchange
🤣🤣🤣🤣🤣

Kaandika kitabu kwa kiingereza... Vya kiswahili tu hatusomi sembuse cha kiingereza!!!
 
Halafu mtu akitoa maoni yake mzee anamwaga povu balaa
 
Dah. Ngachoka
Duh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…